Sasa ni Wazi CUF ya Lipumba inatumika na CCM

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Habari wana Jamvi,

Jioni ya leo wakati wana habari wetu wapo Muheza watu wamestajabu sana baada ya CUF ya Professa Lipumba kutangaza leo watafanya Mkutano wa Kisiasa (Wakisiasa kwenye Viwanga vya wazi) chakushangaza ni kuwa FFU na Haskari wa kawaida ndio waliongoza Msafara huo na kuchunga chakujiuliza kichwa ni CCM kiwiliwili ni bwana yule?

Hofu ni ya nini kama CCM ni safi?

yule kule sasa.jpg
 
Sina uhakika na hizi picha. Mbona zinaonekana kama nizakipindi kule lipumba akigombea uraisi?
Bila kama ni kweli basi lipumba ndio kaisha hivyo
 
Haskari ndiyo kitu gani.
Yaani wewe kijana unayetegemewa na Chadema huwezi kuandika neno askari?
 
Back
Top Bottom