SASA NI WAKATI MUAFAKA KWA MWIGULU KUPUMZIKA

K M S

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
524
424
Habarini za ijumaa kuu waungwana
Awali ya yote naomba nitoe pole kwa ndugu wote waliopeteza nduguzao kwenye tukio la jana la kuvamiwa na kuuawa kwa askar kweli inatisha na inasikitisha kuona askari wanauawa ktk mazingira kama hya inaumiza tena kwa muda mfupi na maeneo yaleyale inaonyesha kunaudhaifu mkubwa sana hapo wizarani ktk kulishugulikia hili eneo tumeshuhudia watu wakiuawa hpo askari,viongozi wa siasa ,wataalm wa misitu nk sasa nafkiri imetosha waziri hatoshi hapo watu wanauawa yeye yupo wanatekwa yy yuopo kina ben wamepotea yy yupo ile miili ya ruvu mpaka leo kimya yeye yupo binafs nasema sasa Mwigulu pumzika. Angalau upumue Adadi Rajabu labda nae ajaribu
 
Kosa lipi? hujui unaongea nini! yamkute ya NAPE?
 
Watu waliojaribu kushughulikia viashiria vya uvunjifu wa amani km Nape wanashushwa vyeo, hata mwigulu alitaka kujaribu kushughulikia issue ya jamaa alietoa pisto mbele ya watu dhidi ya Nape, lkn anaonekana kafungwa kamba. Watu wakizungumzia uhalifu wanatakiwa kuchagua yaani km mpizani ruhusa lkn km si mpizani inaonekana mchochezi au mtu wa madawa ya kulevya. Ila ktk yote mimi imeniuma zaidi ile taarifa ya wamewafuata huko mafichoni kwao pia wameponyoka dah hii ni bonge la uzembe.
 
Sikuungi mkono. Apumzike kwa kosa lipi?? Kawatuma wauaji hao kwenda kuua?? Jamani, tuwaze vizuri tu tutafute jibu sio myopia thinking. Simpendi Mwingulu lakini siungi mkono hoja ya yeye kujiuzulu kabisaaa. Watajiuzulu wangapi?? Nina uhakika, kabla mrithi wake hajaingia ofisini, yatatokea makubwa zaidi. Tutafute kwanza kiini ni nini?? Je, ni uonevu wa polisi umezidi kwa raia?? Je, Ni polisi wameegemea mno upande flani?? Mbona tangu siku nyingi tu wapo huku uraiani na wao wala jamii zao wasidhurike? Tutafute kiini sio mchawi.
 
Inawezekana kwa matukio haya serikali itajua kua hatuko salama maana wabunge wakiongea wanapuuzwa. Mungu wape viongozi wetu hulka ya usikivu na waache kiburi
 
Back
Top Bottom