Sasa ni dhahiri wazee wasomi wanapoteza credibility (hawaaminiki tena)

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Nashawishika kusema wazee walio wengi hasa wanaoshikilia vitengo nyeti serikalini si watu wa kuwaamini tena. Zamani ilizoeleka kwenye jamii yetu kwamba vijana ndo wenye pupa ya kujipatia utajiri wa haraka kwa njia za kifisadi.

Sasa imekuwa kinyume, mifano ifuatayo michache itadhihirisha kauli yangu kutokana na matukio makubwamakubwa yaliyotokea hivi karibuni;

I) Mzee wetu IDDI Simba
II) Mzee wetu Lowassa
III) Mzee wetu Andrew Chenge
IV) Mzee wetu Augustine Lyatonga Mrema
V) Mzee wetu marehemu Balali
VI) Mzee wetu Lyumba
VII) Mzee wetu Basil Mramba
VIII) Mzee wetu Shimbo ( sina uhakika kama ni rumours).

Hawa wazee niliowataja kwa uchache sio mifano mizuri ya kuigwa na watanzania. Na hawastahili kuingia kwenye kumbukumbu nzuri za taifa hili.
 
Nashawishika kusema wazee walio wengi hasa wanaoshikilia vitengo nyeti serikalini si watu wa kuwaamini tena. Zamani ilizoeleka kwenye jamii yetu kwamba vijana ndo wenye pupa ya kujipatia utajiri wa haraka kwa njia za kifisadi.
Sasa imekuwa kinyume, mifano ifuatayo michache itadhihirisha kauli yangu kutokana na matukio makubwamakubwa yaliyotokea hivi karibuni;
I) Mzee wetu IDDI Simba
II) Mzee wetu Lowassa
III) Mzee wetu Andrew Chenge
IV) Mzee wetu Augustine Lyatonga Mrema
V) Mzee wetu marehemu Balali
VI) Mzee wetu Lyumba
VII) Mzee wetu Basil Mramba
VIII) Mzee wetu Shimbo ( sina uhakika kama ni rumours)
Hawa wazee niliowataja kwa uchache sio mifano mizuri ya kuigwa na watanzania. Na hawastahili kuingia kwenye kumbukumbu nzuri za taifa hili.

Mie sijaona suala la usomi linaingiaje hapa, maana kichwa cha thread na mambo uliyoandika havina ushirikiano kabisa. Mkuu, una gubu au hasira na wasomi nini?

Na kwa kukusaidia, usomi haumaanishi mtu atakuwa kiongozi bora. Unasaidia kumpa mtu ufahamu, lakini anatakiwa achanganye ufahamu (knowlwdge), uzoefu (skills/experience) na busara zake (wisdom). Ndio maana kuna wasomi na bado ni wabakaji au walevi tu.
 
Back
Top Bottom