Sasa ni dhahiri wazee wasomi wanapoteza credibility (hawaaminiki tena) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa ni dhahiri wazee wasomi wanapoteza credibility (hawaaminiki tena)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rich Dad, Aug 4, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nashawishika kusema wazee walio wengi hasa wanaoshikilia vitengo nyeti serikalini si watu wa kuwaamini tena. Zamani ilizoeleka kwenye jamii yetu kwamba vijana ndo wenye pupa ya kujipatia utajiri wa haraka kwa njia za kifisadi.

  Sasa imekuwa kinyume, mifano ifuatayo michache itadhihirisha kauli yangu kutokana na matukio makubwamakubwa yaliyotokea hivi karibuni;

  I) Mzee wetu IDDI Simba
  II) Mzee wetu Lowassa
  III) Mzee wetu Andrew Chenge
  IV) Mzee wetu Augustine Lyatonga Mrema
  V) Mzee wetu marehemu Balali
  VI) Mzee wetu Lyumba
  VII) Mzee wetu Basil Mramba
  VIII) Mzee wetu Shimbo ( sina uhakika kama ni rumours).

  Hawa wazee niliowataja kwa uchache sio mifano mizuri ya kuigwa na watanzania. Na hawastahili kuingia kwenye kumbukumbu nzuri za taifa hili.
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Mzee wetu Mwidini Ndolanga
  Mzee wetu Jairo
   
 3. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wazee wamekuwa ni balaa kwa ku engineer dubious deals. Wakipita deal moja nchi yote inatetemeka.
  <br />
  <br />
   
 4. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2016
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,310
  Likes Received: 3,079
  Trophy Points: 280
  Mie sijaona suala la usomi linaingiaje hapa, maana kichwa cha thread na mambo uliyoandika havina ushirikiano kabisa. Mkuu, una gubu au hasira na wasomi nini?

  Na kwa kukusaidia, usomi haumaanishi mtu atakuwa kiongozi bora. Unasaidia kumpa mtu ufahamu, lakini anatakiwa achanganye ufahamu (knowlwdge), uzoefu (skills/experience) na busara zake (wisdom). Ndio maana kuna wasomi na bado ni wabakaji au walevi tu.
   
Loading...