Sasa ni dhahiri CCM wanaiogopa CHADEMA

Sasa ni dhahiri CCM wanaiogopa CHADEMA

andrews

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
1,679
Reaction score
152
1.kitendo cha rais kikwete kuomba msaa polisi kudhibiti mikutano ya chadema(dhaifu)
2.katibu wa bunge kutaka bunge lisioneshwe live ni kuficha wananchi wasione upuuzi wa
watendaji wengi wa ccm(fikra finyu)
3.nape eti wananchi wanakuwa makazini hawalioni bunge.
Haya na mengine mengi yanaonesha jinsi ccm ilivyoshindwa kuwatumia mamluki wao kuidhooficha chadema sasa wanatumia ubabe.taarifa za kiundani zinasema chadema na wao wameanza mbinu ya kutuma watu kwa mgongo wa ccm ili kubaini njama zao kwa hili ccm mtajutia r.i.p ccm2015
 
vitendo vya spika na naibu wake kupindisha vipengere ni dhahiri chama legelege huzaa serikari legelege
 
eti shonza atafanya nini huyu kuwapa kura ccm 2015 mnaanzisha jkt kwa ajiri ya kuiba kura 2015 ccm mkijaribu kuiba kura itakuwa kama kenya wafe wachache kwa manufaa ya wengi kikwete utaacha taifa kwenye michinjano ya kihistoria
 
tutaipeleka Ccm putaputa hadi 2015.Dr.Slaa.
 
Hata kama ni wewe ungekuwa CCM bila shaka ungeiogopa sana CDM! Kila wanachogusa kwa sasa kinakula kwao. Wamebanwa kila kona! Kila kukicha nuru yao kwa wananchi inapungua na nyota ya CDM inazidi kungara! Ni kwa sababu tu mwanaume huwezi kusemA UMESHINDWA HADI DAKIKA ZA MWISHO, LAKINI KWELI WANAHALI NGUMU!
 
Wameshikwa pabaya magamba yanapukutika,nasikia raha!!
 
Serikali ya bwana dhaifu kazi yake ni kupindisha mambo. CCM hawana jinsi wamebanwa kila sehemu. Nape aka vuvuzela kazi yake ni kupayuka tu ndo kilichobaki kwake na serikali yao dhaifu
Wameshikwa pabaya magamba yanapukutika,nasikia raha!!
 
Ccm bado watashinda urais 2015 kwa maana katiba ya uchaguzi haijakaa sawa.haiwezekani kura za urais kuhesabiwa dar es salaam kwa umoja zikikusanywa kutoka majimbo yote nchini.uwizi wa kura unafanyika pindi zinaposafirishwa.ikitokea ccm wana 25percent na cdm wana 70percent basi rahisi sana kusema ccm wamepata 50percent na cdm 45percent na hakuna atakayesema kitu maana mshindi ni mwenye nyingi na kwa sababu ccm wameshika dola basi watalinda maslahi yao.
My take:kula za urahisi zihesabiwe jimboni na pia katiba ya uchaguzi ibadilishe ikiwa wapoinzani wataachana kwa percent ndogo basi tupate serikali ya mseto.kwa sasa cdm tujipange kwa majimbo maana kula zinahesabiwa jimboni na tukipata majimbo mengi basi tumeshika nchi.tchao.....
 
kuna vijana wanahangaika kutengeneza propaganda kutwa kucha ili kunusuru CCM hapa Jf , lakini ukweli wote wanaujua , hakuna uwezekano wowote wa kuzuia mafuriko kwa vidole !
 
Hiyo comment ya NApe ya watu kuwa makazini is the stupidest comment ever made by any Tanzania, ndani na nje ya mipaka yetu
 
Hiyo comment ya NApe ya watu kuwa makazini is the stupidest comment ever made by any Tanzania, ndani na nje ya mipaka yetu

Sijui ni Mshamba au ni kiburi cha Madaraka ya kuteuliwa ! Maana inafahamika karibu ofisi zote nowdays zina Tv .
 
Sijui ni Mshamba au ni kiburi cha Madaraka ya kuteuliwa ! Maana inafahamika karibu ofisi zote nowdays zina Tv .

Inafahamika pia kuwa kuna wengine hufanya kazi usiku na kupumzika mchana, mfano doktaz, watu wa viwandani nk. Akili za kukariri badala ya kutaf.akari
 
utaacha taifa kwenye michinjano ya kihistoria

Migogoro ya kidini nayo inalinyemelea taifa. Kwa maneno ya askofu wa AIC Geita kwenye mazishi ya Mch Mathayo kachira ni uchochezi wa Mkuu wa Mkoa wa Geita pamoja na Wasira damu za watu zinaanza kumwagika!!
 
Back
Top Bottom