Kutokana na kutokea vulugu za kuchana picha za mgombea wa chadema kupitia ukawa popote Inapoonekana zimebandikwa na kupigwa marufuku uwekaji wa picha hizo katika mabango makubwa
Vijana kadhaa wamebuni njia ya nyingine , kama camera yangu ilivyomnasa kijana huyu katikati ya jiji la dar
wewe ajuza wa kimatumbi unaboa sana nenda zako huko ukapalilie magugu kwenye shamba lako mihogo hapo mukuranga ama urudi Canada ukajumuike na kucheza na wajukuu na vtukuu zako kuliko kuhororoja jamvin. I HATE YOUUUUU::mad2: