Sasa Machinga wametushika pabaya

Kwahiyo wewe huwa unavaa shanga? Na kwanini unaruhusu kushikwa na kupapaswa kalio? Anyway, hali ya machinga mtaani imekuwa mbaya sana...
 
Kwahiyo wewe huwa unavaa shanga? Na kwanini unaruhusu kushikwa na kupapaswa kalio? Anyway, hali ya machinga mtaani imekuwa mbaya sana...
Mkuu hiyo ni lugha ya picha tafakari mtu anapozishika shanga kwenye eneo husika anakua kafika wapi
 
Mambo mengine yanafanywa kwa ajili ya siasa haijalishi nini kietokea,hata tukio tulilolishuhudia hivi juzi la kutoa wafungwa
Mkuuu siasa aina gani hiyo zinaleta bugudha kwa wengine? Ni ndio siasa za Majitaka?
 
Mkataa pema pabaya panamuita. Kwani ukikaa kimya itakugharimu nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu hawana shida kama wange baki kuwa Machinga, means kutembea na bidhaa wakiziuza na sio kujenga jenga hovyo vibanda kila mahala visivyo eleweka na kuziba njia za waenda kwa miguu!!!


Lakini pia kama imeshindikana kutembeza wanataka kujenga, wangepewa mchoro wa kibanda kinachotembea chenye tyres na mwavuli wa rangi moja na kinakuwa na kikapu cha taka wajitengenezee na wajipange katika maeneo yaliyo pendekezwa huku wakizingatia usafi


Nje ya kitambulisho wavae reflecta zenye utambulisho wao na wawe wasafi wooote na maeno wanayo fanyia kazi wahakikishe ni masafi ma saa24, kama zilivyo kanuni za watumishi kwenye mavazi hawa nao wapewe dress codes maana wanakaa katikati ya miji so hakuna kuwa nandala mjini, wala nguo chafu chafu wawe wasafi

Pata picha unashuka kariakoo unakuta machinga wanavibanda vyao flani hivi simple and ameizing wanaweka bidhaa zao na miavuli yao na kapu zao zataka wamejipanga vizuriiiii na wote wasafi raia na magari bado wanapita vizuuri bila tatizo, inapendeza sana!!!

Wengine niboda boda, hawa wameanzisha kujenga nao vistend vyao vya hovyo hovyo, hawa wanapaswa kuwekewa sheria wawe na reflecta zilizo printiwa jina lake na namba zake za simu


Serikali za mitaa ziwapangie vituo vidogo vidogo mitaani, na vitambulike na zisimamie ujenzi wa vituo hivyo vidogo (parking) alafu waweke ushuru mdogo wa serikali ya mtaa (100) kila piki piki inapotoka, ushuru huu uwezeshe kuboreshwa kwa usafi wa mitaaa.


Wengine wapiga debe hawa nao wanapaswa kutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…