Sasa Kagame anamtisha nani aisee?

Sasa Kagame anamtisha nani aisee?

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,636
Reaction score
3,167
Hii kitu inashangaza sasa huyu mtutokea tumempa uanachama wa EAC Anajikuta yeye ndo yeye ivi anamtishia nani hasa TANZANIA au KENYA ??? huyu bwana ujue ajiangalie sana aache kelele kelele zake wanaume huwa hatuongei sana atulie aache watu wafanye kazi yao full stop aacha mikwala mikwala yake hopeless kabisa..

NB:Kipindi cha mavuno iki nanasi uku Bagamoyo shambani kwangu zishaiva nahitaji support yenu wadau JF mzigo upo wa kutosha nyny tu nipo Likizo Bagamoyo...
JamiiForums1809931355.jpg
 
Afu Ka Nchi Kake Kana 'Ukubwa' Kama Wilaya Ya Ilala....Mwacheni Siku Ajichanganye....Katanyukwa Na hakatasahau...!
Pro Kagame Mapovu Ruksa!!
 
Hiyo marketing strategy yako nimeipenda chief [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo mananasi kama vipi tukamuuzie huyo huyo Kagame. Akikataa kuyanunua, tumtengenezee zengwe na hivyo kumpa kipigo cha mbwa koko.
 
Back
Top Bottom