[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Hadi umri huu hujui maana ya hisa?
Chuki
Kinyongo
Wivu
Roho mbaya and the likes ndo yanakusumbua
Kwa sasa ataitwa Professor Kabugi.
Kwa sasa ataitwa Professor Kabugi.
Mbwembwe nyingi za nguli wa sheria Profesa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi mara tu baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya uwaziri sasa zimefika tamati.
Hii inaweza kuhusishwa na ugumu wa nafasi aliyopewa, kukosa uwezo au hata ufanisi wa viongozi wake wakuu kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Toka picha ya makinikia ishindwe kuendelea kutokana na huo huo uwezo wa Profesa Kabudi, leo kaja na hili suala la Airtel na mabilioni ya shilingi.
Najiuliza haya mabilioni kutoka Airtel yanalipwa lipwa kwa misingi ipi au ni zile zile hekaya za Abunuasi.
Kabudi kashindwa ......[/QUOTE
]
Naona mnatamani kila kitu kishindikane, hiyo itakuwa kwa faida ya nani?
Hadi umri huu hujui maana ya hisa?
Chuki
Kinyongo
Wivu
Roho mbaya and the likes ndo yanakusumbua
Hujui kitu kuhusu mawasiliano mitambo na minara inamilikiwa na kampuni nyingine airtel ni watoa huduma kama voda na tigo uharibifu wa mitambo haieahusu wao wala sisi.Hakuna company hata moja inayo guarantee hisa hasa kwa muda mrefu kama huo. Kwa sababu katika biashara kuna faida na hasara. Linaweza kutokea jambo ambalo liko nje ya uwezo wako ukawa huwezi kufanya lolote. Kwa mfano; jaalia unamiliki ile.mitambo ya umeme ya Fujushima iliyopigwa na Sunami ikawa haifanyi kazi kwa miaka 2 na ushee, jee utalipa hisa utazitowa wapi? Mitambo ya Airtel inaweza ikaleta matatizo watu wakaamua kuhama mitandao au Tigo wanaweza wakaja na offer nzuri wakawavuta wateja wa Airtel. Hili suala la guarantee ya miaka 5 linatia mashaka!
Sasa kama mitambo imeharibika hata kama hawaimiliki wao wewe utatumia nini?Hujui kitu kuhusu mawasiliano mitambo na minara inamilikiwa na kampuni nyingine airtel ni watoa huduma kama voda na tigo uharibifu wa mitambo haieahusu wao wala sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili kwenye ni cluelessHuyu Kabudi ni disaster atakiwi tena kupelekwa kwenye negotiation table yoyote ya biashara inaonekana ni clueless pande hizo.
Anyway binafsi nilishamuona ni professor wa ovyo baada ya kumtuhumu Zitto kutumiwa na mabeberu wakati anauliza maswali ya msingi kuhusu development za kesi zilizo kwenye arbitration; eti awezi jibu kwa sababu ni siri (arbitration kama alternative dispute resolution yeyote inalinda usiri wa terms za mikataba) sasa kuulizwa kesi imefikia wapi nayo ni swala la siri.
Mpe elimu mtu huyuSasa kama mitambo imeharibika hata kama hawaimiliki wao wewe utatumia nini?
The point is huwezi kuguarantee dividends kwa shareholders kwenye biashara, msenge wewe, kama hujui kuleta hoja bila ya kutukana watu, na sisi tuanweza kutukana pia!
Mimi nilikwabia wapi natawala, hizo akili za kiarusha nenda kazitumie kuoshea magari mto themi, shwine nyinyi msiojitambua shauri ya banghe!Toka tupate uhuru mnatawala baada ya mkoloni hakuna mnachokifanya zaidi ya kucheza "Nyegezi"
Ccm joka kuu
Swali fupi tu!Hakuna company hata moja inayo guarantee hisa hasa kwa muda mrefu kama huo. Kwa sababu katika biashara kuna faida na hasara. Linaweza kutokea jambo ambalo liko nje ya uwezo wako ukawa huwezi kufanya lolote. Kwa mfano; jaalia unamiliki ile.mitambo ya umeme ya Fujushima iliyopigwa na Sunami ikawa haifanyi kazi kwa miaka 2 na ushee, jee utalipa hisa utazitowa wapi? Mitambo ya Airtel inaweza ikaleta matatizo watu wakaamua kuhama mitandao au Tigo wanaweza wakaja na offer nzuri wakawavuta wateja wa Airtel. Hili suala la guarantee ya miaka 5 linatia mashaka!
Mnaoiba ni nyie mathithiem, ushahidi upo wazi kabisaMimi nilikwabia wapi natawala, hizo akili za kiarusha nenda kazitumie kuoshea magari mto themi, shwine nyinyi msiojitambua shauri ya banghe!
Kama unaona hamna kilichofanyika si umbebe mama yako mwende mnakoweza furahia maisha ya wizi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali fupi tu!
Kwa experience yako tu, hivi tangu airtel ianze ope rations zake hapa nchini.
Ni muda kiasi gani?
Je hayo unayoyatabiri yaliishatokea mara ngapi?!
Usikalie kazi ya usaga sumu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefeli wewe mkuu! Kabudi ni kitu nyingine!Mbwembwe nyingi za nguli wa sheria Profesa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi mara tu baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya uwaziri sasa zimefika tamati.
Hii inaweza kuhusishwa na ugumu wa nafasi aliyopewa, kukosa uwezo au hata ufanisi wa viongozi wake wakuu kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Toka picha ya makinikia ishindwe kuendelea kutokana na huo huo uwezo wa Profesa Kabudi, leo kaja na hili suala la Airtel na mabilioni ya shilingi.
Najiuliza haya mabilioni kutoka Airtel yanalipwa lipwa kwa misingi ipi au ni zile zile hekaya za Abunuasi.
Kabudi kashindwa ......
Usijiulize, majibu ni haya hapa:-Mbwembwe nyingi za nguli wa sheria Profesa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi mara tu baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya uwaziri sasa zimefika tamati.
Hii inaweza kuhusishwa na ugumu wa nafasi aliyopewa, kukosa uwezo au hata ufanisi wa viongozi wake wakuu kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Toka picha ya makinikia ishindwe kuendelea kutokana na huo huo uwezo wa Profesa Kabudi, leo kaja na hili suala la Airtel na mabilioni ya shilingi.
Najiuliza haya mabilioni kutoka Airtel yanalipwa lipwa kwa misingi ipi au ni zile zile hekaya za Abunuasi.
Kabudi kashindwa ......
hisa maana yake ni nini?Hadi umri huu hujui maana ya hisa?
Chuki
Kinyongo
Wivu
Roho mbaya and the likes ndo yanakusumbua
hivi unajua maana ya hisa kweli?Hakuna company hata moja inayo guarantee hisa hasa kwa muda mrefu kama huo. Kwa sababu katika biashara kuna faida na hasara. Linaweza kutokea jambo ambalo liko nje ya uwezo wako ukawa huwezi kufanya lolote. Kwa mfano; jaalia unamiliki ile.mitambo ya umeme ya Fujushima iliyopigwa na Sunami ikawa haifanyi kazi kwa miaka 2 na ushee, jee utalipa hisa utazitowa wapi? Mitambo ya Airtel inaweza ikaleta matatizo watu wakaamua kuhama mitandao au Tigo wanaweza wakaja na offer nzuri wakawavuta wateja wa Airtel. Hili suala la guarantee ya miaka 5 linatia mashaka!