Sasa hivi tunajiandaa kumalizana ndani ya chaguzi za ccm kupata ubunge na udiwani,tumegundua vita na upinzani kwenye kura haipo,sasa tupasuane!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,662
Kwa hali ilivyo,ukipita Ccm,umepata ulaji,sasa tunajiandaa kupambana ndani ya chama!
 
Hapo ndipo Ndugai hatarudia kosa tena la kumzimisha mwanaccm mwenzake kwa nusu kaputi ya bakora, safari hii ataua kabisa watu wafunike bendera ya kijani kwenye jeneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…