Sasa haya mazoezi???? Au adhabu.

Sasa haya mazoezi???? Au adhabu.

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,289
jionee 526148_274421456007308_697277036_n.jpg mwenyewe.
 
anapunguza chimpumu ya jana aweke mpya
 
huyu muda si mrefu atamwaga kojo
 
anatafuta nguvu na balance ya kutukaba usiku, hilo zoezi noma!!
 
mtu mwenyewe ameshakufa halafu anaongeza seed ya kumaliza ka uhai kadogo kalikobakia.
 
Aaaa hapana jamani hayo sio mazoezi ni adhabu,ukute pembeni kuna mijamaa imeshiba inamsotesha mwenzao.kisa alilisimama na demu wa mshkaji wao.maanake emu cheki alivyokunja sira hadi huruma maskiniiiiiii.
 
Bora lingekuwa hilo pekee nina wasiwasi na vingine vinaweza kutoka.
 
Back
Top Bottom