sasa chadema wana uhakika

sasa chadema wana uhakika

wafuasi wengi wa lowasa tegemeo lao lililobaki ni chadema tu. ni muda wao sasa kuwaaadhibu ccm kwa kuchagua ukawa.
 
Acha tupeleke vilio Lumumba, Membe hawezi kusimama na Dr.Slaa hata kwa sekunde moja iwe kwa hoja ama kwa box la kura
 
wale misukule wa lumumba kama wamemwagiwa maji vile siwaoni wakilopoka nimejaribu kupitia thread zote siwaoni
 
Mwaka wa ukawa kivipi? kama kugombea sawa ndio wanajaribu lakini kushinda subutuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kila nikifikiria NEC na mwenendo wake, UKAWA na jinsi walivyokaa kimya na sula la BVR, Sheria mpya ya Mtandao, Goli la mkono la Nape, Jeshi la Police lilivyo ongezewa vifaa vya kutosha. Siamini kama UPINZANI utaing'oa CCM mwaka huu.
 
Back
Top Bottom