Hiyo ni kwa mujibu wa TRA. Sasa katika bunge la bajeti Waziri wa Fedha alisema amewaondolea kodi waendesha pikipiki. Matokeo yake hata Baiskeli wanapaswa kulipa kodi. Kinachonishangaza ni suala la kutoza kodi ya fire hata kwa baiskeli. Sasa sijui kama baiskeli nayo ni chombo cha moto?