Sare za jeshi

Dah! Hawa jamaa bwana lakini ni sawa tu na wale wanaovaa suti au hawa wa combat wana ujuzi maalumu
Nahodha..... CCP kunamtoa Immagratio officer., police officer etc..
Lakini kikazi kila mtuuu anakuwa na majukumu yake papanapohuzi
Pita mwalim nyerere airport uone majukumu ya afisa uamiji,policeman,UWT na kk security woote jukumu ni ulinzi na uharali wa wasafiri ila kila mmoja ana handle kimpango wake
Ndio kama hizo jamaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…