Chilla nimeuliza jeshi letu lina sare tofauti na zile tulizoea kuwaona nazo?wewe una zani hao wamekodiwa kutoka marekani???
nami nauliza kama sio wa tanzania je ni wa wapi?? sheria zina ruhusu watu kuja kutoka nje kufanya kazi za umma... na wasio raia...??? je na wanao vaa suti ni vazi la majeshi yetu ya ulizi...Chilla nimeuliza jeshi letu lina sare tofauti na zile tulizoea kuwaona nazo?
Nani alokwambia hao ni wanajeshi? Labda nikakitengo kengine ka ki pirate mate..Chilla nimeuliza jeshi letu lina sare tofauti na zile tulizoea kuwaona nazo?
Shida yangu sio uraia wao,ila uniform je wanazo kama hizo?nami nauliza kama sio wa tanzania je ni wa wapi?? sheria zina ruhusu watu kuja kutoka nje kufanya kazi za umma... na wasio raia...??? je na wanao vaa suti ni vazi la majeshi yetu ya ulizi...
Labda!Nani alokwambia hao ni wanajeshi? Labda nikakitengo kengine ka ki pirate mate..
Anazunguka nao kila eneo anayokwenda
Mbona sehemu zingine huwa hatuwaoni?Nani alokwambia hao ni wanajeshi? Labda nikakitengo kengine ka ki pirate mate..
Anazunguka nao kila eneo anayokwenda
Ndio labda.....[emoji1] [emoji1] [emoji1]Labda!
OK poaSehemu nyingi yuko nao..... kianzia kigoma,bukoba,mara, ikulu nenda kawaone,
Jaribu kuwa unatazama misafara na mikutano yake mingi
Shukrani sikonjoseOK poa
Kumbe! Mwambie sasaa ninyi wa wapi mkuuSare za kwetu kumbuka makonda alienda clouds na wenye magwanda hayo