Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
MABINGWA wa soka Tanzania, Yanga, leo wamenusurika kufungwa nyumbani katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya National Al Ahly baada ya kutoka sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa.
Matokeo hayo, hata hivyo, yanaifanya Yanga iwe na wakati mgumu zaidi katika mechi ya marudiano itakayochezwa jijini Cairo baadaye ...
Kwa habari zaidi, soma hapa => Sare ya 1-1 na Al Ahly yaiweka pabaya Yanga | Fikra Pevu