Saratani sio tishio tena

Saratani sio tishio tena

shelumwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
516
Reaction score
190
Dalili Za Kansa

Ugonjwa wa kansa una ishara nyingi ambazo hutegemea zaidi kansa hiyo ipo kwenye sehemu gani ya mwili, imekwisha enea kwa dalil za melanomakiwango gani na ukubwa wa uvimbe wa kansa hiyo. Kansa nyingine huonekana kwa macho au kwa kupapasa juu ya ngozi – uvimbe juu ya ziwa au kwenye korodani huweza kuwa ishara ya kansa. Kansa aina ya melanoma mara nyingi hutambuliwa kutokana na mabadiliko ya vijipele juu ya ngozi. Kansa nyingine hutoa mabaka meupe ndani ya midomo au madoa meupe kwenye ulimi.

Kansa nyingine hutoa dalili ambazo hazionekani dhahiri. Uvimbe wa kwenye ubongo, mathalani, huathiri jinsi mtu anavyoweza kutambua vitu na kansa za kwenye kongosho hazitoi ishara mapema hadi maumivu yatakapoanza pale neva za maeneo ya karibu zitakapoanza kuminywa au shughuli za ini zitakapoathiriwa na kusababisha ngozi na macho kuwa ya rangi ya njano (jaundice).

Ishara nyingine zitaonekana uvimbe utakapoanza kusukuma viungo vya karibu au mishipa ya damu. Kwa mfano, kansa za kwenye utumbo huweza kusababisha kukosa choo kikawaida, kuharisha au kiasi cha kinyesi kinachotolewa. Kansa za tezi dume huathiri ufanyakazi wa kibofu cha mkojo na kusababisha kupata haja ndogo mara kwa mara au kutopata haja ndogo.

ishara za kansa

Kwa vile seli za kansa hunyonya nguvu za mwili na kuvuruga mfumo wa kinga za mwili, ishara nyingine za homa, uchovu, kutokwa jasho, kukosa damu, kupungua uzito kusiko na sababu huweza kutokea.

Kansa iliyoenea hadi kwenye maeneo ya ubongo husababisha kizunguzungu na maumivu ya kichwa. Kansa ya mapafu inawezaa kusababisha kukohoa na kupumua kwa shida. Ini linaweza kuwa kubwa na kusababisha ugonjwa wa homa ya manjano, mifupa huweza kuuma na kuvunjika kirahisi.

Tiba Ya Kansa

Tiba ya ugonjwa huu wa saratani inatolewa kwa kutegemea aina ya kansa aliyo nayo mgonjwa, kansa hiyo imeenea kiasi gani katika mwili wa mgonjwa huyo, umri wa mgonjwa, afya aliyo nayo na mambo mengine yanayoendana na mgonjwa huyo. Hakuna tiba ya wote na mara nyingine mgonjwa atapewa mchanganyiko wa tiba
na uangalizi. Tiba zilizopo zinaangukia katika makundi yafuatayo: upasuaji, mionzi, chemotherapy, immunotherapy, hormone therapy au gene therapy. Tutapitia kwa kifupi aina hizi za tiba za kansa hapa
chini.

Tiba Ya Kansa Kwa Upasuaji: Tiba ya kansa kwa upasuaji ndiyo tiba ambayo imetumika kwa muda mrefu zaidi kuliko tiba nyingine zote. Endapo kansa ya eneo moja haijaenea kwenye sehemu nyingine ya mwili, mgonjwa anaweza kupona kabisa kwa tiba hii ya upasuaji. Mafanikio makubwa kabisa ya tiba hii yameonekana katika tiba za kansa za maziwa na kansa za tezi dume. Kansa ikiishaenea toka sehemu moja ya mwili hadi nyingine, tiba hii haiwezi kuondoa seli zote za kansa.

Tiba hii inapotumika kwa sasa hivi kuondoa uvimbe, madaktari huondoa kipande cha seli za kawaida kuzunguka eneo la seli za kansa kuhakikisha kuwa seli zote za kansa zimeondolewa. Mgonjwa hulazilka kubaki kwenye nusu-kaputi wakati vipimo vinachukuliwa kuhakikisha kuwa eneo la kiada lililoondolewa halina seli za kansa na kwa bahati mbaya wakigundua uwepo wa seli hizo za kansa, humrudia mgonjwa na kukata kipande zaidi.

Maendeleo ya teknolojia sasa hivi yamekuja na kifaa kipya kitwacho IKnife ambacho chenyewe hugundua seli za kansa hivyo kuwawezesha madaktari kujua upeo wa eneo la kulikata na kuondoa seli zote za kansa bila ya kusubiri vipimo vya kwenye maabara.
Tiba Ya Kansa Kwa Mionzi: Tiba hii ambayo pia huitwa radiotherapy huondoa kansa kwa kuelekeza mionzi yenye nguvu kwenye seli za kansa. Mionzi hii huziharibu seli hizo na kuzifanya zijiue zenyewe. Tiba hii ya mionzi hutumia mionzi yenye nguvu inayoitwa gamma-rays inayotolewa na machine maalumu.

tiba ya mionzi ya saratani

Tiba za mwanzo kwa kutumia mionzi zilikuwa na madhara makubwa ya kuharibu seli za kawaida lakini maendeleo katika teknolojia yameiboresha tiba hii na sasa mionzi hiyo ina uwezo wa kulenga seli za kansa kwa uhakika zaidi na hivyo kutoleta madhara kwa seli za kawaida. Radiotherapy hutumika kufanya uvimbe unywee au kuharibu seli za kansa (pamoja na kansa za aina ya leukemia na lyphoma). Tiba hii hutumika pia pamoja na tiba nyingine za kansa.

Tiba Ya Kansa Ya Chemotherapy: Chemotherapy ni tiba inayotumia kemikali ambazo zinavuruga tendo la seli za mwili kujigawa na kusababisha seli hizo kujiua zenyewe. Tiba hii hulenga zile seli ambazo zinajigawa kwa haraka na kwa kawaida hutumika kutibu kansa zilizoenea kutoka eneo moja ya mwili hadi eneo jingine
(metastatic cancers) kwa sababu kemikali hizi zina uwezo wa kusambaa katika mwili wote wa mgonjwa. Hii ni tiba ya lazima kwa aina fulani ya kansa za aina ya leukemia na lymphoma.

tiba ya chemotherapy

Chemotherapy hutolewa kwa vipindi ili mwili uweze kupona katikati ya dozi moja na nyingine. Madhara ya tiba hii ni pamoja na
kunyonyoka nywele, kichefuchefu, uchovu wa mwili na kutapika. Ni tiba ambayo mara nyingine hutolewa kwenda sambamba na tiba nyingine za saratani.

Tiba Ya Kansa Ya Immunotherapy: Immunotherapy ni tiba inayokusudia kuziongeza kinga za mwili ili mwili uweze kupambana na uvimbe. Sindano inaweza kudungwa kwenye eneo lililoathirika ili uvimbe unywee (Local immunotherapy). Namna nyingine ni kuuwezesha mwili wote kuongeza kinga ili kupambana na uvimbe katika sehemu zote za mwili (Systemic immunotherapy). Tiba hii bado ni changa lakini zimeonyesha mafanikio katika kutibu kansa za maziwa.

Utafiti unaendelea na kila siku wanasayansi wanakuja na tiba nyigine na kuzijaribu. Tiba ambazo zipo kwenye majaribio ni pamoja na Gene therapy yenye lengo la kukarabati genes zilizoharibika.

Jee, Unasumbuliwa Na kansa?

Wasiliana nami kwa ajili ya msaada ya namna ya kupata msaada

0767831345
0655731345

Au tembelea page zetu za facebook kwa masomo na shuhuda zaidi na namna ya kufaika na Biashara ya mtandao kwa Mtaji mdogo tu
PHYTOSCIENCE TANZANIA
1e07768742a2c6bf66b9bca84b39a9e6.jpg
c5165fc25f356bc438cddc3a206e826b.jpg
bab03c8ce2f97cb4d1bdd43f80ff029e.jpg
b8068bd5f8248c6bd361ab7d6842bae9.jpg
 
Safi, pamoja na namba za simu nashauri ungeeleza tu mnapatikana wapi Tanzania, hospital gani, iko wapi? Ingependeza zaidi.
 
Nashukuru sana kwa shule nzuri ulio toa ila kwakuongezea kwasasa hivi kwa early stage ya HCC tuna tibu kwa kutumia

  • Transarterial Chemo-embolisation (cTACE, bTACE) and radio-embolisation (Y90 spheres)- Approach hii inarespond very well na 5yrs survive rate is much higher. I think soon TZ itaanza kufanyika pia.
  • Thermal ablation (RFA; MWA) of liver and lung tumours hii pia survival rate yake ipo juu na tumor cell respond well.
  • Cryoablation of renal and bone tumors
Porcedure zote hizi zinafanywa na watu wa Vascular and Interventional Radiology,Inteventional Oncologist or Vascular surgeon.
Karibuni sana

further info.
Chemoembolization:
Radioembolization
Radiofrequency ablation
Cryoablation:
Microwave ablation:

CHEMOEMBOLIZATION
th

ar474054.fig1a.jpg

th

pg_tc2_b.jpg
 
Hizi ni habari njema
KANSA (CANCER) SARATANI INA TIBA YAKE PIA YA KUTUMIA DIET (VYAKULA) KWA KUTEGEMEA TOFAUTI TOFAUTI ZA KANSA /SARATANI/ CANCER.
PIA NI MUHUMI KUFUATA MASHARTI YA KUJUA CHAKULA KIPI ULE NA CHAKULA KIPI USILE KWA MUDA WOTE WA TIBA.
NA KANSA /SARATANI HUWA INACHUKUA MIEZI 6-8. ILA KWA WALE WAVIVU KUFUATA DIET (LISHE) UNAWEZA KUCHUKUA HATA MWAKA.
MIFANO YA DAWA ZA TIBA ASILIA NI HII IFUATAYO:-
1. VITAMIN B17 (INA MASHARTI YAKE NA VITAMIN ZINAZOENDANA NAZO) NA VYAKULA
2. MISTLETOE

NIME ATTACH VIDEO MOJA USIKILIZE.
 
Attachments

Acha uongo mkuu,tiba pekee ya cancer ni hospitali tu.Sio vizuri kupiga hela kupitia wagonjwa wasio na matumaini.

Sent using Jamii Forums mobile app
kitu cha Msingi Naomba uonyeshe uongo upo maeneo yapi, ili watu wajue nimesema uongo maeneo yapi.
sasa kitu amcho nataka nikaziie kwenye jambo hili ni hivi:-
Ukisoma vitabu vifuatavyo:- Medical Ministry, Selected Messages, counsels on health, counsels on Diet and foods
wanaelekeza jinsi ya kupangalia lishe ili mgonjwa apone magonjwa na hata ukisoma Medical Ministry wameelezea na kansa/ Saratani (Cancer).
na pia wameelezea jinsi ya kutibu magonjwa kwa simple diet.
na ndio maana hata ukifuatilia wagonjwa wote waliopona kwa kutumia diet na dawa za tiba mbadala.
nitawataja kwa majina:-
Sandi Rog, - breast cnancer, Fiona- Leukemia & Sarcoma, Chris - Colon Cancer, Dr Dale Figtree- Lymphom, ABIGAIL- bREAST CANCER, Jill- Cervical Cancer, Suzan Macco- Breast Cancer.
wote hawa walipona kansa zao kwa kufuata masharti yote ya vyakula (Simple diet) yalioandikwa kwenye vitabu hivyo hapo juu, na ukisikia mtu kansa imerudia ujue hajafuata kanuni za lishe kama zilizoelezewa kwenye vitabu vyote hapo juu.
pia ukifutatilia watu maarufu waliokuwa wanatumia alternative medicine kama Dr Sebi, Max Gerson (MD), Gerd Hamer, Hoxsey.
Tiba zao zilifanikiwa kwa sababu walitumia mfumo au kanuni kama za lishe kama zilizoorodheshwa kwenye vitabu hapo juu.
Na watu wengi hawafanikiwi wakiunganisha matibabu nusu nusu yaani (ya pande mbili ).
na wengine hawafanikiwi kwa sababu kuna vyakula anaambiwa asile yeye anakula tu huku akitegemea dawa peke yake itamsaidia wakati sio kweli..
na mwisho naambatanisha mfano wa mgonnjwa mmoja aliyeelezewa kwenye kitabu cha selected messages

My attention was then called to the first case, that of the father who had lost his wife and two children. The physician was in the sick room, standing by the bedside of the afflicted daughter. Again he left the room without giving medicine. The father, when in the presence of the physician alone seemed deeply moved, and he inquired impatiently, “Do you intend to do nothing? Will you leave my only daughter to die?” The physician said,— {2SM 445.5}

“I have listened to the sad history of the death of your much loved wife, and your two children, and have learned from your own lips that all three have died while in the care of physicians, while taking medicines prescribed and administered by their hands. Medicine has not saved your loved ones, and as a physician I solemnly believe that none of them need, or ought to have died. They could have recovered if they had not been so drugged that nature was enfeebled by abuse, and finally crushed.” He stated decidedly to the agitated father “I cannot give medicine to your daughter. I shall only seek to assist nature in her efforts, by removing every obstruction, and then leave nature to recover the exhausted energies of the system.” He placed in the father's hand a few directions which he enjoined upon him to follow closely.{2SM 445.6}

“Keep the patient free from excitement, and every influence calculated to depress. Her attendants should be cheerful and hopeful. She should have a simple diet, and should be allowed plenty of pure soft water to drink. Bathe frequently in pure soft water followed by gentle rubbing. Let the light, and air, be freely admitted into her room. She must have quiet, and undisturbed rest.” {2SM 446.1}

The father slowly read the prescription, and wondered at the few simple directions it contained, and seemed doubtful of any good resulting from such simple means. Said the physician, }2SM 446.2{

“You have had sufficient confidence in my skill to place the life of your daughter in my hands. Withdraw not your confidence. I will visit your daughter daily, and direct you in the management of her case. Follow my directions with confidence, and I trust in a few weeks to present her to you in a much better condition of health, if not fully restored.” {2SM 446.3}

The father looked sad and doubtful, but submitted to the decision of the physician. He feared that his daughter must die if she had no medicine. {2SM 446.4}

I was brought again into the sick room of the first case, that of the father and his daughter. The daughter was sitting by the side of her father, cheerful and happy, with the glow of health upon her countenance. The father was looking upon her with happy satisfaction, his countenance speaking the gratitude of his heart, that his only child was spared to him. Her physician entered, and after conversing with the father and child for a short time, arose to leave. He addressed the father, thus,— {2SM 448.1}

“I present to you your daughter restored to health. I gave her no medicine that I might leave her with an unbroken constitution. Medicine never could have accomplished this. Medicine deranges nature's fine machinery, and breaks down the constitution, and kills, but never cures. Nature alone possesses the restorative powers. She alone can build up her exhausted energies, and repair the injuries she has received by inattention to her fixed laws.” {2SM 448.2}

He then asked the father if he was satisfied with his manner of treatment. The happy father expressed his heartfelt gratitude, and perfect satisfaction, saying,— {2SM 448.3}

“I have learned a lesson I shall never forget. It was painful, yet it is of priceless value. I am now convinced that my wife and children need not have died. Their lives were sacrificed while in the hands of physicians by their poisonous drugs.” {2SM 448.4}
 
Duh...aliyemaliza kusoma anyooshe mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KANSA (CANCER) SARATANI INA TIBA YAKE PIA YA KUTUMIA DIET (VYAKULA) KWA KUTEGEMEA TOFAUTI TOFAUTI ZA KANSA /SARATANI/ CANCER.
PIA NI MUHUMI KUFUATA MASHARTI YA KUJUA CHAKULA KIPI ULE NA CHAKULA KIPI USILE KWA MUDA WOTE WA TIBA.
NA KANSA /SARATANI HUWA INACHUKUA MIEZI 6-8. ILA KWA WALE WAVIVU KUFUATA DIET (LISHE) UNAWEZA KUCHUKUA HATA MWAKA.
MIFANO YA DAWA ZA TIBA ASILIA NI HII IFUATAYO:-
1. VITAMIN B17 (INA MASHARTI YAKE NA VITAMIN ZINAZOENDANA NAZO) NA VYAKULA
2. MISTLETOE

NIME ATTACH VIDEO MOJA USIKILIZE.
asante mkuu kwa hii
 
nilikuwa nanukuu zaidi, ukijibu bila kunukuu unawachanganya hata wale wenye nia ya kutafuta kutaka kujua ukweli.
Pia ukinukuu kwa kutumia vitabu vya wenzetu ngozi nyeupe wengi wanapata morali ya kujifunza na kufuatilia zaidi ili kupata ukweli.
Kingine naumia sana kuona mwingine anakufa huku akiamini hawezi kupona na wala hana interest kujaribu kufuata kanuni bora za lishe walizotumia wengine kupona.
na nina video nyingi tu ila nashindwa kuzi upload hapa zionekane kama vile za kwenye youtube, au social media zingine kirahisi.
 
Ungeweka post fupi fupi tuelewe,ukiweka ndefu wengi hawasomi, inakua wastage of time
 
Kansa ni tishio bado, hakuna teknolojia yoyote ambayo imezuia mauaji ya huu ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kansa /Saratani (Cancer) ni tishio na itaendelea kuwa Tishio, ni kwa sababu ya vyakula tunavyokula kwa mfano:-
Chips----Mafuta yanayotumika, pia yanasababisha sana watu kupata vivimbe kama Fibroids, tumour (Omega 6).
Nyama na Maziwa fresh -- Ng'ombe anaumwa kapigwa sindano siku ya pili maziwa yamekamuliwa, au ng'ombe kachinjwa kisha watu wanakula mshikaki, sasa mtu aliyekula siku zinazofuata anajisikia ovyo ovyo digestion sio nzuri,--hapo mbali ya dawa kuna connection ya viruses /Parasites kutoka kwa wanyama kwenda kwa binaadamu.
watu wa vidonda vya tumbo wanatumia Maziwa muda mrefu wa maisha yao kutuliza ukali wa vidonda vya tumbo., kumbuka wanaambiwa waache mboga mboga za aina nyingi nazikiwepo zile zinazotumika kuponya vidonda vya tumbo, matokeo yake wanapata kansa /saratani.
 
Attachments

  • images-1.png
    images-1.png
    9.8 KB · Views: 60
  • cancers.jpg
    cancers.jpg
    12.5 KB · Views: 60
Dawa kwa ajili ya saratani / kansa
Bei ni sh.65,000/= kwa kopo la (60 cap) na sh. 110,000/= kwa kopo la (100cap),
B17 Apricot,
Saratani ya kizazi
Saratani ya tezi dume
Saratani ya mapafu
Saratani ya utumbo
Saratani ya tumbo
Saratani ya koo (ya unga)
Saratani ya kibofu
Saratani ya damu
Sarcoma
Etc
20190613_081726.jpeg
20190604_082234.jpeg
 
Dawa kwa ajili ya saratani / kansa
Bei ni sh.65,000/= kwa kopo la (60 cap) na sh. 110,000/= kwa kopo la (100cap),
B17 Apricot,
Saratani ya kizazi
Saratani ya tezi dume
Saratani ya mapafu
Saratani ya utumbo
Saratani ya tumbo
Saratani ya koo (ya unga)
Saratani ya kibofu
Saratani ya damu
Sarcoma
Etc
Contact 0787291773View attachment 1133695View attachment 1133698
 
Back
Top Bottom