Sapple cup.

mkabasia

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,809
2,369
Habari zenu wapedwa.Naomba kuuliza anaefahamu icho kifaa naweza kipata wapi naomba anisaidie.

Kifaa hicho kinatumika kurefusha chuchu(nipples)kwa wale wenye flat nipples.Chuchu zikiwa flat znatesa sana kipindi cha kumnyonyesha mtoto.Katika pita pita kwenye mtandao nikakutana na icho kifaa nimejaribu kuuliza maduka kadhaa hapa mjini ( DSM) sijafanikiwa kukipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom