Tofauty Member Joined Sep 12, 2016 Posts 25 Reaction score 16 May 20, 2017 #1 Jamani mimi naweza kuchekesha na nimetunga vichekesho vingi sana lakini sasa life linapiga photo tutapateje sapot bhana
Jamani mimi naweza kuchekesha na nimetunga vichekesho vingi sana lakini sasa life linapiga photo tutapateje sapot bhana
bilemasome Member Joined Oct 31, 2016 Posts 48 Reaction score 9 May 23, 2017 #2 Anza kupost kwenye social media mbali mbali, naamini kuna watu watavutiwa na Kazi yako, na kupitia hivo wanaweza kukusapoti mkuu... Just uwe serious na hicho kipaji chako na uwe focused.
Anza kupost kwenye social media mbali mbali, naamini kuna watu watavutiwa na Kazi yako, na kupitia hivo wanaweza kukusapoti mkuu... Just uwe serious na hicho kipaji chako na uwe focused.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,400 Reaction score 465,165 May 23, 2017 #3 Ebu anza kutuchekesha sisi kwanza tuone