mkuu SAP ni pana sana,sasa sema ni mambo gani unayajua zaidi,kwa sababu kuna FICO(financial and Contolling),SD (sales distribution),MM(materila Management),CRM,SCM,PP na modules nyingine nyingi sana.mimi kwa upande wangu nina ujuzi wa EPICOR,especially 9 katika Financial modules na Inventory modules,ila kwa sasa Epicor 9 ni mizinguo sana. so nasoma SAP.nimejaribu Kudownload demos Videos.sasa kama wewe uko vizuri kwenye SAP kati ya hizo Modules Kazi nyingi zipo Uarabuni,wakenya kibao wapo kule.kwa tanzania bado sana hii Software kutumika,ila ni the best software for the coming 50 years.kwa ushauri kwa hapa bongo cheki na hawa jamaa careers@bluekey.co.ke ,wapo pale makutano ya Serena hotels(formely Movenpic).pale wanapokata Ticket za Kenya airways. kuna jengo lina bango la Bluekey.all the best kaka.