SANYA NA MAKUNDI YAKO MTUACHE TUTEKELEZE ILANI. (Sehemu ya kwanza)
Binadamu ni kiumbe ambaye hatosheki wala haambiliki kwa wakati Fulani, Mwaka Jana aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara aliweza kusimamishwa na kamati kuu ya CCM kwa tuhuma ya kukihujumu chama cha mapinduzi katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Licha ya kusimamishwa huko, kiongozi huyu ameendelea kuungana na baadhi ya viongozi wa serikali ndani ya mkoa wa Mara kumpinga kwa nguvu zote kipenzi cha wana Mara ( mwenyekiti wa CCM Mkoa ndugu Samweli Kiboye, Namba 3)
Hii ni kutokana na mwenyekiti huyu kupinga kwa makusudi uzembe, uonevu na kutokuwajibika kwa viongozi hao kuanzia ngazi ya mkoa na wilaya.
Nia ya kubwa ya kikundi hiki ni kutaka kuhakikisha Kuwa Namba 3 anapata shida katika utawala wake, kwani kuna baadhi ya mambo ambayo tayari wamekwisha mpakizia ili aonekane ni mbaya ndani ya serikali.
Mwishoni mwa mwezi wa NNE , wakiwa pale Goldland hotel Tarime kundi hili liliandaa andiko lililodai Kuwa Mwenyekiti wa CCM MARA ameitaka serikali kurejesha tsh. 1.5 tirion.
Baada ya kubainika na uongo wao wakamtuma mjumbe kuja kuomba msamaha miongoni mwao.
Kama hiyo haitoshi wakalitumia gazeti lao la Jamhuri kuonesha uongo uliopitiliza Kuwa Namba tatu siyo raia wa nchi hii baada ya kujipikia takwimu ambazo hawakuwa na uhakika nazo.
Natoa rai kwa viongozi wa Serikali kuanzia ngazi za juu kimkoa na kiwilaya , wafanye kazi iliyowaleta siyo kuungana na msaliti wa CCM kumpinga mwenyekiti ambaye tayari ameanza kufatilia kwa kasi utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndani ya mkoa.
Taarifa ya kikao cha Jana tumezipata ila sisi kama wanachama wa CCM mkoa tunakuomba sana Sanya pumzika mwache Namba tatu afanye kazi.
Hatuwezi tukaendelea kama mkoa Kuwa na viongozi wanaopinga kwa makusudi utekelezaji wa ilani wakitaka kufatiliwa na chama wanakuwa ni wababe na kujitafutia sababu za udaku ili kuvunja moyo ufatiliaji huo.
Jumuiya zote za chama tuungane na mwenyekiti wa mkoa katika kulisemea hili tumeaminiwa na wanachama tusiwekwe mfukoni kwa pesa za nyanya na kuungana na watu wanaotuaribia taswira ya chama ndani ya mkoa.
Itaendelea..........sehemu ya pili.