Tatizo sio sanitas tatizo in Aar
Lady uliumwa nini ? na mara ya kwanza walikusingizia unaumwa nini ? wka hadharani ili na wake zetu au watoto wetu wakiumwa hivyo ulivyosingiziwa tujue wanaumwa walichogundua Agha KhanMie hao Sanitas sina hamu nao... Niliambiwa naumwa kitu fulani kumbe siyoo nikapewa madonge kibao ahueni sipati... kwenda Aga Khan hospital wananikuta naumwa kitu kingine tofauti after one week ya medication nikawa poa... Sina hamu nao hao
Lady uliumwa nini ? na mara ya kwanza walikusingizia unaumwa nini ? wka hadharani ili na wake zetu au watoto wetu wakiumwa hivyo ulivyosingiziwa tujue wanaumwa walichogundua Agha Khan
io sanitas ipo wapi hapa DAR???
Mimi na rafiki zangu tukiumwa tunakwenda kwa dokta JJ Mwaka kwa ajili ya tiba. kliniki yake haihitaji bima wala nini, ni laki yako unapewa dawa ya kutibu kila gonjwa.
Unapewa dawa na chupa inawekwa lebo baada ya wewe kupewa dawa. Dawa haina lebo ikiwiwa famac. Famaci kwenyewe kuna vijana wawili wanatia dawa aina moja kwenye vichupa. ukiugua ugumba unapewa dawa hiyo hiyo aliyopewa asie na nguvu za kidume lakini lebo torfauth
Mkuu hili dongo au unamfyegilia Dokta jj?!
Tatizo sio "Sanitas" wala "AAR" bali tatizo "Serikali" inayopaswa kuwasimamia na kulinda maslahi ya walaji wa huduma zao ambao ndio wenye Nchi!