Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 14,125 Reaction score 13,401 Feb 12, 2025 #161 Richdon said: dhuuuuu Click to expand... youtube.com/watch?v=735Xg6BuAI4
hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 18,464 Reaction score 27,063 Feb 12, 2025 Thread starter #162 marserino said: Sanduku la agano inasemekana lipo pale Maka chini ya ardhi yake ndipo lilipohifadhiwa tangu kizazi na kizazi. Ndo maana mahala pale ni patakatifu hadi Kesho Click to expand... Maka hapajawahi kuwa patakatifu,maka ni sawa na Mbeya kwenye kimondo Kwanza waislamu na Sanduku la agano wapi na wapi ? Vile vitu vyote mule kwenye sanduku ukivichambua vinamuwakikisha Yesu Hadi kifo pale msalabani
marserino said: Sanduku la agano inasemekana lipo pale Maka chini ya ardhi yake ndipo lilipohifadhiwa tangu kizazi na kizazi. Ndo maana mahala pale ni patakatifu hadi Kesho Click to expand... Maka hapajawahi kuwa patakatifu,maka ni sawa na Mbeya kwenye kimondo Kwanza waislamu na Sanduku la agano wapi na wapi ? Vile vitu vyote mule kwenye sanduku ukivichambua vinamuwakikisha Yesu Hadi kifo pale msalabani
P PeterwaPerer Senior Member Joined Sep 12, 2024 Posts 111 Reaction score 133 Feb 12, 2025 #163 Kuna haja ya kuwafuatilia wana wa Walawi
hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 18,464 Reaction score 27,063 Feb 12, 2025 Thread starter #164 PeterwaPerer said: Kuna haja ya kuwafuatilia wana wa Walawi Click to expand... Huenda Yeremia nabii mwana wa hilkia kuhani mkuu anajua lilipo
PeterwaPerer said: Kuna haja ya kuwafuatilia wana wa Walawi Click to expand... Huenda Yeremia nabii mwana wa hilkia kuhani mkuu anajua lilipo
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,593 Reaction score 15,752 Feb 12, 2025 #165 Kwahiyo lipo Ethiopia? Ethiopia kuna ukoo wa lawi? Lipo sehemu gani?
Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 14,125 Reaction score 13,401 Feb 12, 2025 #166 hamis77 said: Maka hapajawahi kuwa patakatifu,maka ni sawa na Mbeya kwenye kimondo Kwanza waislamu na Sanduku la agano wapi na wapi ? Vile vitu vyote mule kwenye sanduku ukivichambua vinamuwakikisha Yesu Hadi kifo pale msalabani Click to expand... For your information, Yesu ni nabii issa. Kwa nini unasema Macca sio patakatifu?π³π
hamis77 said: Maka hapajawahi kuwa patakatifu,maka ni sawa na Mbeya kwenye kimondo Kwanza waislamu na Sanduku la agano wapi na wapi ? Vile vitu vyote mule kwenye sanduku ukivichambua vinamuwakikisha Yesu Hadi kifo pale msalabani Click to expand... For your information, Yesu ni nabii issa. Kwa nini unasema Macca sio patakatifu?π³π
hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 18,464 Reaction score 27,063 Feb 12, 2025 Thread starter #167 Bulamba said: For your information, Yesu ni nabii issa. Kwa nini unasema Macca sio patakatifu?π³π Click to expand... Issa sio Yesu ,hiyo ni propaganda ya waislamu kujinasibisha na manabii wakiyahudi Ndio maana wanapatamani na Yerusalemu wakati sio Yao ,ulishawahi kusikia Ukristo au Uyahudi ukijinasibisha na Maka au Madina?
Bulamba said: For your information, Yesu ni nabii issa. Kwa nini unasema Macca sio patakatifu?π³π Click to expand... Issa sio Yesu ,hiyo ni propaganda ya waislamu kujinasibisha na manabii wakiyahudi Ndio maana wanapatamani na Yerusalemu wakati sio Yao ,ulishawahi kusikia Ukristo au Uyahudi ukijinasibisha na Maka au Madina?
hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 18,464 Reaction score 27,063 Feb 12, 2025 Thread starter #168 Missy Gf said: Kwahiyo lipo Ethiopia? Ethiopia kuna ukoo wa lawi? Lipo sehemu gani? Click to expand... Hakuna anayejua lipo wapi,ila huenda lilifichwa kwenye moja ya milima ya Israel kipindi wababeli wamekuja kuharibu hekalu
Missy Gf said: Kwahiyo lipo Ethiopia? Ethiopia kuna ukoo wa lawi? Lipo sehemu gani? Click to expand... Hakuna anayejua lipo wapi,ila huenda lilifichwa kwenye moja ya milima ya Israel kipindi wababeli wamekuja kuharibu hekalu
Kyela boy New Member Joined Feb 19, 2021 Posts 4 Reaction score 1 Feb 13, 2025 #169 Nasubiri jibu naona wengine mmeingiza maada ya ukristo na uislamu tena