Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,262 Jan 23, 2020 #2 Hapa Tz mlisema itawekwa sanamu ya diamond nadhani inawatosha. Ila badala ya kujenga sanamu na kuziabudu tujikite kwenye ujenzi wa vyuo vya watoto vya mpira wa miguu. Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Tz mlisema itawekwa sanamu ya diamond nadhani inawatosha. Ila badala ya kujenga sanamu na kuziabudu tujikite kwenye ujenzi wa vyuo vya watoto vya mpira wa miguu. Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,039 Jan 23, 2020 #3 Hauwezi kuandika habari nzito kama hii ukose hata picha.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,896 Reaction score 49,793 Jan 23, 2020 #4 citiezb said: Wacongo wameanza kuwa kama wakenya sasa, Haiwezekani samatta mTz wamtengenezee sanamu halafu itumike kama kivutio cha utalii wanaendelea kupiga pesa tu.. Sisi wabongo tumelala sana Click to expand... Mbona ina chunusi
citiezb said: Wacongo wameanza kuwa kama wakenya sasa, Haiwezekani samatta mTz wamtengenezee sanamu halafu itumike kama kivutio cha utalii wanaendelea kupiga pesa tu.. Sisi wabongo tumelala sana Click to expand... Mbona ina chunusi
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,060 Reaction score 15,272 Jan 23, 2020 #5 Tupo na MEYA MWITA KWANZA
M mwibiti fc Senior Member Joined Dec 4, 2019 Posts 138 Reaction score 75 Jan 24, 2020 #6 citiezb said: .. Click to expand... Picha iko wapi
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,047 Jan 24, 2020 #7 Daudi Mchambuzi said: Hapa Tz mlisema itawekwa sanamu ya diamond nadhani inawatosha. Ila badala ya kujenga sanamu na kuziabudu tujikite kwenye ujenzi wa vyuo vya watoto vya mpira wa miguu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huko vijijini sehemu nyingi hakuna vyoo. Yet tunajiita matajiri
Daudi Mchambuzi said: Hapa Tz mlisema itawekwa sanamu ya diamond nadhani inawatosha. Ila badala ya kujenga sanamu na kuziabudu tujikite kwenye ujenzi wa vyuo vya watoto vya mpira wa miguu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huko vijijini sehemu nyingi hakuna vyoo. Yet tunajiita matajiri