nasikia pale ndipo kilometers za magari huanza zero kwenda popote

Ingawa siungi mkono uharibifu huo, lakini huwa najiuliza maana ya kuwa na sanamu ile ya mkoloni mahali pale ambapo ndio centre ya jiji. Umaarufu wa sanamu ile umemeza ule wa mnara wa saa. Bado sijajua Bismin alikuwa nani hasa kwa historia ya Tanganyika au Dar es salaam.
Sijajua pia kwanini spelling za neno Dar es salaam zisiwe kwa kiswahili kama Daresalam.
Miaka 50 ya uhuru tumeendelea kukumbatia na kuenzi mabaki ya wakoloni!!!???
Nipeni mwanga hapo nimetafakari kwa muda mrefu lakini sijapata majibu.

Jamaa alipanda sanamu kisha akashikilia mkono wa sanamu na kujisogeza mpaka kwenye singe hapo akawa ana ninginia.Alininginia kwenye singe au aliningiaje
Asante kwa kutuelimisha.Askari wa kiafrika aliyepigana upande wa wajerumani, hao ndio kina Kleist, na ndio ukoo uliopigana vita upande wa wajerumani na ndio ukoo wenye historia ndefu na ulioanzisha mapambano ya kudai Uhuru Tanganyika na ndio ulioanzisha vyama vya mwanzo vya siasa Tanganyika, walitokana na askari hao wa kijerumani.
Iliandikwa kiswahili kwa maandishi ya kiarabu. hizo ndizo herufi orijino za lugha ya kiswahili.
waliulize litawaambia aliyevunja!One shot for all the Kavirondos,Tanzania Legion members and their families.
One madman doesn't stop the legacy.
bongo unit