Samweli sitta

Na hiyo ndiyo akili ya mbwa wengi waliopo mule.
 
Alafu nimegundua bora ccm mule ndani, hakuna wapumbavu na wajinga kama lile kundi la 201.... yani kundi l;a 201 ni wajinga sana na wengi wao wako kwa ajili ya njaa, wakiongozwa na Mpanju na Ivon Manda.
 
Mzee Six kaharibu CV yake kabisa aisee, sijui kapewa bei gani
 
Hicho kikaragosi mbona kama kinamuhusu Shibuda vile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…