Samweli Sitta ni Mgonjwa

Status
Not open for further replies.
Duuuh waungwana basi tusameheane dunia tunapita
 
Pole kwa msiba wa Mzazi wako, Diana Sitta. Mungu akutie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha masikitiko na majonzi. Amina. (Rejea update ya post ya kwanza ya uzi huu)
 
Mkuu naomba Mungu wasikuweke kwenye kamati ya mapokezi ya mwili wa marehemu.
 

Mungu si wa kuchezea eti mkimkabidhi lowasa nchi mtaingia gharama kufanya uchaguzi mpya,kisa eti lowasa mgonjwa sasa umetenguliwa wewe na utajibu kwa mola jukumu ulompa lowasa dadeki
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…