Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,611
- 164,629
Habari wadau,
Jumapili hii kuanzia saa 4:30,aliekuwa Mwenyekiti wa bunge la katiba ambae pia ni waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki na mbunge wa Urambo,bwana Samweli Sitta,atakuwa live star katika kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi kinachorushwa na kituo hicho.
Ni nafasi nyingine ya kupima kauli,mtazamo na uwezo wa kiongozi huyu mwenye utata mkubwa.
Stay tuned.
Kaka yaani kabisa badala nipumzike ni mwangalie juha six, nitake radhi kwanza
Habari wadau,
Jumapili hii tarehe 16/11/2014, kuanzia saa 4:30,aliekuwa Mwenyekiti wa Bpunge la katiba ambae pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na mbunge wa Urambo,bwana Samweli Sitta,atakuwa live star katika kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi kinachorushwa na kituo hicho.
Ni nafasi nyingine ya kupima kauli,mtazamo na uwezo wa kiongozi huyu mwenye utata mkubwa.
Stay tuned.
Akuna mtu ataangalia hicho kipindi

Aende akatubu dhambi ya kutukana maaskofu