VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Jana,Saed Kubenea wa CHADEMA ametoa tuhuma nzito juu ya Samwel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa la Tanzania. Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa Kamati teule ya Bunge Dr. Harrison Mwakyembe alikuwa na Ripoti mbili juu ya Richmond.
Kubenea amesema kuwa Ripoti iliyosomwa na Mwakyembe haikuwa halisi. Halisi imefichwa na Samwel Sitta. Hiyo iliyofichwa ndiyo inayomtaja kinagaubaga mhusika mkuu wa Richmond scandal.Ikafichwa.
Kaka Samwel,tuwekee wazi Ripoti halisi tujionee.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam