Taarifa toka korido za jumba jeupe kule mtaa wa Lithuli ni kuwa FISADI SAMUEL SITTA jina lake limo miongoni mwa wanasiasa watakao pewa nishani ya Uhuru wa nchi hii.
Msisahau kuwa bila jasho na damu za babu na bibi zetu tusingekuwa huyu. akini watawala wetu leo wameona ni bora kuwazawadia mafisadi Kama Sitta nishani hizi.
Kwa maneno mengine sysytem yetu balada ya kuwa reward watu ambao wako worthy sisi tuna reward ma corrupt.
Stay tuned...
Acha Avalishwe Nishani Ambayo Imejaa Chembechembe Ya Umwagaji Damu Utakaoweza Kutokea Kutokana Na Alichokifanya.
Arudishe chenji yetu aliyotokomea nayo ya BMK.....
Taarifa toka korido za jumba jeupe kule mtaa wa Lithuli ni kuwa FISADI SAMUEL SITTA jina lake limo miongoni mwa wanasiasa watakao pewa nishani ya Uhuru wa nchi hii.
Msisahau kuwa bila jasho na damu za babu na bibi zetu tusingekuwa huyu. akini watawala wetu leo wameona ni bora kuwazawadia mafisadi Kama Sitta nishani hizi.
Kwa maneno mengine sysytem yetu balada ya kuwa reward watu ambao wako worthy sisi tuna reward ma corrupt.
Stay tuned...
ukoo wa panya wote wezi ccmAliiba Bilioni 3 za Ukawa waliosusia Bunge Haramu la CCM
Huyu ni Jambazi tu kama majambazi wengine
wanapewa tuzo za wizi kweli ccm kuna vituko sanaAnapewa nishani ya Katiba ya FISADI PAPA CHENGE na ESCROW.
Tumeupata bila damu!.This is an insult kwa waliomwaga damu ya uhuru wa nchi hii