Samwel Sitta kesho kupewa nishani ya Uhuru

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,000
Taarifa toka korido za jumba jeupe kule mtaa wa Lithuli ni kuwa FISADI SAMUEL SITTA jina lake limo miongoni mwa wanasiasa watakao pewa nishani ya Uhuru wa nchi hii.

Msisahau kuwa bila jasho na damu za babu na bibi zetu tusingekuwa huyu. akini watawala wetu leo wameona ni bora kuwazawadia mafisadi Kama Sitta nishani hizi.

Kwa maneno mengine sysytem yetu balada ya kuwa reward watu ambao wako worthy sisi tuna reward ma corrupt.

Stay tuned...
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,804

Acha Avalishwe Nishani Ambayo Imejaa Chembechembe Ya Umwagaji Damu Utakaoweza Kutokea Kutokana Na Alichokifanya.
 
cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,040
2,000
Taarifa toka korido za jumba jeupe kule mtaa wa Lithuli ni kuwa FISADI SAMUEL SITTA jina lake limo miongoni mwa wanasiasa watakao pewa nishani ya Uhuru wa nchi hii.

Msisahau kuwa bila jasho na damu za babu na bibi zetu tusingekuwa huyu. akini watawala wetu leo wameona ni bora kuwazawadia mafisadi Kama Sitta nishani hizi.

Kwa maneno mengine sysytem yetu balada ya kuwa reward watu ambao wako worthy sisi tuna reward ma corrupt.

Stay tuned...
Anapewa nishani ya Katiba ya FISADI PAPA CHENGE na ESCROW.
 
Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,332
2,000
Hizo nishani ngoja wapeane tu hao wezi na mafisadi...they are all birds of a feather! Siku ya siku zitatuwezesha kuwatambua kirahisi na hivyo kuwashughulikia ipasavyo!
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,870
2,000
Namkubali sana Sitta, nitashauri kwenye vigezo wa mgombea wa CCM 2015, kigezo cha kuwa na nishani ya uhuru kiwekwe ili kusaidia kupunguza mlolongo!.

Kiukweli kabisa Siita anastahili, na haswa baada ya kuifanya kazi hii ya Samweli Sitta: Zisipotimia zitatimilizwa!, "Dua la Kuku ...
vizuri, kwa ushupavu, umakini na uadilifu mkubwa!, alipoteuliwa tuu, nilimpongeza Hongera Sana Samuel Sitta, 2015 Utatufaa Sana Ukiwa Waziri ... na alipokamilisha ile kazi nzuri ya kutupatia katiba tuipendayo, mimi nilishauri hivi, Kufuatia Sitta Kuonyesha Ushupavu katika Katiba, Jee Tumpe ..

Siita hoyee!.

Pasco.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,131
2,000
apewe asipewe who cares!!!

yaani hata hakukuwa na haja ya kumuandikia uzi hapa JF...
 
Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
14,814
2,000
kaua Tanganyika halafu mumpe tuzo siku ya uhuru wa Tanganyika, huu utakuwa upuuzi
 
Kimilidzo

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
1,346
1,225
Anapewa tuzo ya Uhuru WA Tanzania bara ambao kwa sisi watanganyika sio dili. Acha wabara wapeane shavu kwani hata bilioni za escrow waligawana wabara
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom