Samwel Sitta kesho kupewa nishani ya Uhuru

Nishani ya uchakachuaji, vitisho na wizi wa kura katika Bunge la Posho la Maintarahamwe. N aibu kubwa kwa Chama cha wahuni na mafisadi.
 
Rasimu haramu yatakatishwa rasm!, ndo tutie akili sasa tujue kuwa ccm ikisema "uhuru" humahanisha uhuru kwa watu gani!
 
Sitta ni Shujaa, ana haki ya kupewa tuzo hiyo.

Mlitaka apewe Mzee Slaa? Kwa lipi haswa?
 
Taarifa toka korido za jumba jeupe kule mtaa wa Lithuli ni kuwa FISADI SAMUEL SITTA jina lake limo miongoni mwa wanasiasa watakao pewa nishani ya Uhuru wa nchi hii.

Msisahau kuwa bila jasho na damu za babu na bibi zetu tusingekuwa huyu. akini watawala wetu leo wameona ni bora kuwazawadia mafisadi Kama Sitta nishani hizi.

Kwa maneno mengine sysytem yetu balada ya kuwa reward watu ambao wako worthy sisi tuna reward ma corrupt.

Stay tuned...

Vipi Kafulira pia atapewa nishani?
 
Back
Top Bottom