Hivi nchi hii ina laana hata six nae awe rais bora tuongozwe na nguruwe
Samuel Sitta kupitia Mwananchi amedai kuwa historia yake nzuri ndiyo itakayomfanya aungwe mkono katika harakati zake za kuomba ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania.
Kwanza anadai kuwa atakumbukwa kwa kutimiza ndoto za watanzania ya kuwapatia katiba mpya.
Pili kwa utumishi wake wa muda mrefu Serikalini na tatu ni utendaji wake kama Spika wa Bunge.
Chanzo: Mwananchi leo
Makalio yake

Yani anajivunia historia ya kushirikiana na Chenge kuchakachua maoni ya wananchi??
hao viongozi ni wapuuzi. hata mimi namuunga mkono sitta kuwatukana. niwapuuzi kweli kweli.Ni kweli historia yake ya kuwatukana viongozi wa dini itambeba kweli. Kama anadhani tumeshasahau matusi aliyoyatoa dhidi ya viongozi wetu wa kiroho AMEPOTOKA.