Samsung wajifunze kwa Apple

Sasa kwanini ife wakati wa replacement,na wakati ni swala la kawaida matengenezo??
 
Hata mimi natumia iPhone 6 naomba unisaidie kitu. Nikitaka kuprint document kwenye iphone yangu nikichomeka USB wire kwenye computer naona tu picha documents sizioni nifanyeje?
 
Ok lets start
Samsung heating(exploding) Vs iphone overheating
Samsung imexplode on a note 7 version whereby mistakes happen na Samsung decided kurdisha Samsung zote na kutoa discount za note 8 ipi iphone ina overheat kwenye near version zote and especially iphone X
Samsung pink line Vs iphone green line
Display ilikuwa problem and competition between company hizo ba pia Samsung wali develop njia ya kufix tatizo hio kulinganisha na iphone na the good thing about Samsung rheir open so anybody can help to fix

Samsung face id fooling( already fixed) Vs iPhone Face id fooling, forgeting and error (still a problem also in iPhone X)
Title inajieleza

Note: Samsung heart rate is buggy but accurate.
 
Sasa kwanini ife wakati wa replacement,na wakati ni swala la kawaida matengenezo??

Touch ID haina replacement mkuu , ile inatembea na motherboard yake yan zile fingerprint za mtu anazoziweka zinakaa kwenye chip ndani ya simu husika hata apple hawaioni. iPhone badirisha vyote lakini kile ki home button ukikitenganisha na simu yake basi Touch ID yake haifanyi kazi tena. Kumekuwepo na fingerprint failure nyingi Sokoni ukweli ni kwamba hizi ni iphone used zimekuwa refurbished sasa upande wa Touch ID ndo huwezi kutengeneza hata mchina hawezi so inabidi waweke hivyo hivyo tu simu ikae bila Touch ID...

NB : Ukiona mtu ana iphone fingerprint haifanyi kazi moja kwa moja jua ni refurbished na hamna jinsi ya kuitengeneza
 
Dah we jamaa noma sana..umeona mbali sana..mm samsung ata unipe bure..i better go for lg..yan hawajajipanga wanakurupuka tu..im now using i phone its a complete phone for a user ambayo huwezi jutia kutumia wala ela yako..hawa jamaa noma sana aisee..
 
Mimi nishahidi kabla sijchukua six plus ya sasa nilikuwa na 5s ambayo ilikufa fingerprint baada ya kubadili display tu.
 
Ulishatumia samsung gani jamaa angu??
 
Mimi nishahidi kabla sijchukua six plus ya sasa nilikuwa na 5s ambayo ilikufa fingerprint baada ya kubadili display tu.

Tatizo la watu ni uelewa tu , sometimes mtu inabidi uangalie post zao unyamaze tu . Kuna watu humu wanakutana na used iPhone 5s yan simu imetumika miaka kibao iliyopita then anategemea itakuwa inakaa na charge kama official site inavyosema.. Sometimes hawa ni kuwaacha na tecno zao tu [emoji23]
 
Ulishatumia samsung gani jamaa angu??

Nimeanza na note 3,nikahamia lg g5 nikaja i phone 6 nikahamia note 5 kwa kujua kuwa itanifurahisha matokeo yake nikaanza kukumbuka LG..i phone the best accesory ever..na ndo natumia hapa..
 
Nimeanza na note 3,nikahamia lg g5 nikaja i phone 6 nikahamia note 5 kwa kujua kuwa itanifurahisha matokeo yake nikaanza kukumbuka LG..i phone the best accesory ever..na ndo natumia hapa..

Ulitegemea kupata nini kwenye note five???maana mimi nina iphone 6+ plus hapa nikikwambia natafuta camera safi humu utaniona kichaa.
 
Unajua hauko serios.

Miaka mitano au kumi nyuma ina nini cha kifanya na betri iliyotoka kiwandani mwaka jana???au unadhani iphone 5s zimecha kutengenezwa??
 
Ulitegemea kupata nini kwenye note five???maana mimi nina iphone 6+ plus hapa nikikwambia natafuta camera safi humu utaniona kichaa.

I just needed a perfect phone with everything on it..qualities ambazo ni unique..maana me nikitumia LG na samsung nakua sina tofauti na mtumiaji wa tecno
 
I just needed a perfect phone with everything on it..qualities ambazo ni unique..maana me nikitumia LG na samsung nakua sina tofauti na mtumiaji wa tecno

Aisee!!!kwahiyo shida yako ni kukaa mbali na tecno!!!

Haya tuonyeshe unatumia iphone gani.
 
Aisee!!!kwahiyo shida yako ni kukaa mbali na tecno!!!

Haya tuonyeshe unatumia iphone gani.

Sio kukuaa tu mbali na tecno..kujitofautisha na android tu..ios is the best..natumia i phone 6s..
 
Sio kukuaa tu mbali na tecno..kujitofautisha na android tu..ios is the best..natumia i phone 6s..

Sasa wewe kukaa mbali na android haimaanishi android ni mbaya.ni mtazamo wako tu.
 
Sasa wewe kukaa mbali na android haimaanishi android ni mbaya.ni mtazamo wako tu.

Samsung ina relate mafeatures meengi alaf hayapo 100% compactible..kama jamaa alivyosema juu..inakuja na finger print ila inababaisha tu..bora LG i enjoyed it.

I phone wakiintroduce feature jua hio feature utaitumia na itafanya kazi kwa uhakika wa asilimia 100..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…