Kama sikosei hili tangazo lilitoka longi na mwenyewe alishasema kesha uzaRANGI NYEUSI
CHOGO NDOGO
MODEL TYPE:CS-29Z50MH
TYOE: KS7C29Z50
(UNAWEZA KU GOOGLE/BING KUPATA MAELEZO NA PICHA ZAKE)
PICHA CHACHE NIMEATTACH
HAIJAWAHI KWENDA KWA FUNDI WALA KUFUNGULIWA
HAINA TATIZO LOLOTE
IMETUMIKA MWAKA 1
BEI 400,000TZS(negotiable!)
KUIONA BURE! :decision:
kama kuna mtu anahitaji nnayo LG42 PLASMA ni mpya haijawahi tumika ni ya rangi nyeusi
Kwa nini unaitoa??
du nafikiri ukihitaji utajua kwa nini naitoa,sio hiyo tu kuna friji na friza,mziki wa nguvu,machine ya kufua na kuoshea vyombo na vyote vipya kabisa
mi nahitaji kuviona hivyo vyombo, haswa friji na hiyo tele, nipe bei kwanza basi nijue kama I can afford
post da pic to emmanuelmasalu@hotmail.com?
Mkuu, punguza hiyo kitu nikufanyie biashara nzuriNi kweli..nilikuwa na TV 2 ,na hii nayo ipo sokoni...niliyemuuzia pia ni member wa JF
Kaka simu nyingi za siku hizi zinasumbua sana charge...me nimerudi kweny C905 ,ila soon ntachukua X10 ,nikiona battery perfomance ipo pouwa tutaiwe ka sokoni...πPoa poa, nitakupigia mkuu, lakini ile kitu mkuu inasumbua charge...haiimili kabisa yani. Inatakiwa mtu asietumia cm sana. Lakini ipo poa tu.
ntakutumia mawasiliano ya mtu ambaye unaweza kumpigia akaenda kukuonyesha,unaweza kwenda viona mbezi ya kimara
Kaka K je umeitumia kwa muda gani na bei yake kamili ni ngapi baada ya kupunguza,pia vizuri utuambie kama ina tatizo au la maake siku hizi biashara nyingi zimekuwa za kuuziana mbuzi kwenye guniakama unamaanisha mimi..TV bado ipo π