Samsung tablet inauzwa 240000

Samsung tablet inauzwa 240000

Desmond Kamala

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
134
Reaction score
8
Nauza samsung tablet 2 /7.0 inatumia line zote,3g plus(H),internal memory 12gb.
Jipatie kwa sh 240000 tuuuuu.
 
Jamani kariakoo akuna simu wala tablet orijino ni utapeli tapeli..nimefanya pale elreserch kama mtu ninaetafuta maduka ya ksupply mzigo nimejua mengi sana.....yan.watu wanauziwa vitu fake vingine havina hata brand name kwa bei za juu....ndani ya nusu saa duka moja wateja si chini ya watano wanarudi na simu zao zimebuma...
nunueni simu nje ya kariakoo
 
Hivi kuna watu timamu wanaonunua simu k/koo?
Bora ninunue mkononi mwa mtu itakua original kuliko huko.
 
yan hata si uongo bora ununue used kwa mtu kuliko mpya kkoo
 
Back
Top Bottom