elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,764 Feb 21, 2014 #1 imetumika miezi 2 iko katika hali nzuri naiuza tshs 500000/= Attachments IMAG0033.jpg 232.5 KB · Views: 189 IMAG0034.jpg 468.2 KB · Views: 164
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Feb 22, 2014 #2 embu tupia specifications zake hapo kk
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,620 Reaction score 134,311 Feb 22, 2014 #3 Kama 10.2 inauzwa laki 400,000 tuu, bei nstahili kwa hiyo 10.1 ni 300,000 not a single cent more!. Nenda pale Azam take away round about!. Pasco
Kama 10.2 inauzwa laki 400,000 tuu, bei nstahili kwa hiyo 10.1 ni 300,000 not a single cent more!. Nenda pale Azam take away round about!. Pasco
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,168 Reaction score 31,355 Feb 22, 2014 #4 love nimekuona ila upo juu bana msome Pasco Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mipangomingi JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 2,713 Reaction score 2,063 Feb 22, 2014 #5 Sasa hivi tuko kwenye Galaxy tab 3 10.1 au Galaxy Note 10.1 (2014 edition), wewe unakuja na Tab 10.1 tena? Hiyo fuata ushauri wa upendeleo wa Pasco hapo juu
Sasa hivi tuko kwenye Galaxy tab 3 10.1 au Galaxy Note 10.1 (2014 edition), wewe unakuja na Tab 10.1 tena? Hiyo fuata ushauri wa upendeleo wa Pasco hapo juu
Spinster JF-Expert Member Joined Mar 19, 2012 Posts 487 Reaction score 138 Feb 24, 2014 #6 nielekezen bac wakuu, apo azam nende mana nna shida
NIGGA JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 1,239 Reaction score 641 Feb 25, 2014 #7 elmagnifico said: imetumika miezi 2 iko katika hali nzuri naiuza tshs 500000/= Click to expand... weka no ya simu tufanye biashara
elmagnifico said: imetumika miezi 2 iko katika hali nzuri naiuza tshs 500000/= Click to expand... weka no ya simu tufanye biashara