Kwa 450k ukiagizishia Online unapata LG G8x ama oneplus 7 kavu, zina snapdragon 855 ambayo ni much better kuliko s9, kwa Games hizo mbili zitakuwa vyema zaidi.Habari za usiku huu wa manane
Ndugu yenu nataka nijitose kariakoo kwenda kununua simu nzuri dukani kwa ajiri ya matuzi ila zaidi iwe na uwezo wa kucheza games kubwa kubwa zenye high resolution vipi kwa hili chaguo langu samsung galaxy s9 plus refurbished budget yangu ni 450k Nahitaji ushauri wenu wa kimawazo wataalamu wa Tech kipi ni zingatie ili niweze kupata simu nzuri isiyo kuwa na matatizo au copy nk au kama unafahamu brand nyingine tofauti na hiyo kali yenye uwezo mzuri unaweza ukaniambia.
Zinakaa ila sio kwa kucheza gamesUna maanisha kwamba s9 Plus hazikai na chaji
Habar yako chief, hizi s9, note 8 zinazouzwa makumbusho na kkoo zinakuwaga nzuri kweli mkuu? Naonaga pia wanatoa na warranty ya mwaka mmoja.Kwa 450k ukiagizishia Online unapata LG G8x ama oneplus 7 kavu, zina snapdragon 855 ambayo ni much better kuliko s9, kwa Games hizo mbili zitakuwa vyema zaidi.
Mkuu refurb ni kubet, tena ukiinunua Tz chance ya kuwa mbovu ni kubwa zaidi.Habar yako chief, hizi s9, note 8 zinazouzwa makumbusho na kkoo zinakuwaga nzuri kweli mkuu? Naonaga pia wanatoa na warranty ya mwaka mmoja.
Daaah, kwahiyo bora uagize online? Si ndo zile zinakuwa boxed kabisa mkuu?Mkuu refurb ni kubet, tena ukiinunua Tz chance ya kuwa mbovu ni kubwa zaidi.
Samsung hawajuagi kuunda mabetri! Tafta litecno lililochangamka specs utafurahia hayo magemu au tafta Oppo highendUna maanisha kwamba s9 Plus hazikai na chaji
hii ni tz na famba, muulize mkuu Lusungo anaenunua mpya atakupa ushuhuda mzuri, highend nyingi za Samsung ni one of the best kwenye ukaaji chaji.Samsung hawajuagi kuunda mabetri! Tafta litecno lililochangamka specs utafurahia hayo magemu au tafta Oppo highend
ndio online na ujue ni refurb kwa sababu gani, uridhie then ndio ununue.Daaah, kwahiyo bora uagize online? Si ndo zile zinakuwa boxed kabisa mkuu?