Hizo za kariakoo ni refurbished tu...box wanauza separate watakufungia full box uone ni mpya...
Kuhusu a50,note 8 na s9..kama unajua kukagua simu vzr na ukabahatika kuipata note 8 na s9 iliyotulia basi umeula..
Ila kama hutak kesi za refubished basi chukua zako a50 tu...
Ila s na note hizo ndio beast