Raphael gadau JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,007 Reaction score 306 May 13, 2017 #1 samsung s8 yazinduliwa kwa nchi za africa nchini kenya kwa walio kwisha weka oda mjiandae mkao wa kula
samsung s8 yazinduliwa kwa nchi za africa nchini kenya kwa walio kwisha weka oda mjiandae mkao wa kula
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 May 13, 2017 #2 bongo tuisubiri lini
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,922 May 13, 2017 #3 Sawa ii cm nimielewa sana ntaijarib..
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,380 Reaction score 46,280 May 13, 2017 #4 hii ndio simu ambayo inapasuka kioo kirahisi kushinda flagship zote ambazo samsung wametoa,pia baadhi ya wateja wameanza kulalamika kuwa upande wa speaker zinazingua kwa kukatakata sauti kumbuka ile ishu ya display kujikoleza rangi nyekundu
hii ndio simu ambayo inapasuka kioo kirahisi kushinda flagship zote ambazo samsung wametoa,pia baadhi ya wateja wameanza kulalamika kuwa upande wa speaker zinazingua kwa kukatakata sauti kumbuka ile ishu ya display kujikoleza rangi nyekundu