Nakushauri ingia dukani mkuu!
Kupata kesi kubwa za kimtandao kwa sasa siyo kazi tena unaweza kununua simu mkononi kumbe muuzaji jana ametoka kufanya tukio baya ukaungwa kwenye chain baada ya kukutwa na kithibiti,ingia tu dukani!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk