Samsung s6 inauzwa

Samsung s6 mpya inauzwa.. Bei 1500000.. Kwa mawasiliano zaidi 0717591756
 
1.5milioni!ni mtaji tosha!ukinunua mabelo 6 ya mtumba na ukiyauza ndani ya wiki3 huwezi kukosa Laki5 faida!huu ni msimu wa kazi tuache masihara!Lol
 
kauze kkoo....kama hujapata kwa laki 3, hiyo s6 yako!
 
Ndio bei yake Kama ni original Mtoa mada yuko sahihi,tatizo wengi mmezoea vitu fake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…