single file
single file
Yaan huwez Ingia Ndan ya Simu Ukiwasha ikimaliza ile logo ya t-mobile na samsung inaishia hapo kwenye hyo errorKwanza angalia kama imei number na serial number kama zipo kweny about phone kisha status,hapo angalia serial number zipo? Pia angalia imei information ,imei ipoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan huwez Ingia Ndan ya Simu Ukiwasha ikimaliza ile logo ya t-mobile na samsung inaishia hapo kwenye hyo error
Hiyo ya kuflash kwa 4 files ntajaribu ila hyo kuroot na kuandika imei na kupatch certificate sijaielewa kabsa mkuuSasa hapo njia ya kwanza unatakiwa uflash 4 files ,, ikigoma njia ya uhakika ni unatakiwa uroot simu,uandike imei,upatch certificate kisha unlock
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni advanced kidogo..tena lazma uwe na box ya z3x au octopusHiyo ya kuflash kwa 4 files ntajaribu ila hyo kuroot na kuandika imei na kupatch certificate sijaielewa kabsa mkuu
samahan lkn bob
T mobile inakuwaje na simu mbovu wakati simu ni za Samsung? Labda useme upande wa softwareUkipenda kitonga ndio madhara yake hayo,T mobile ni kampuni ina simu mbovu hatari sio software sio hardware kote majanga
Sent using IPhone X
T mobile inakuwaje na simu mbovu wakati simu ni za Samsung? Labda useme upande wa software
T mobile wanatengeneza simu hizo au Samsung?Kwa akili zako za kiccm itakuwa vigumu kuelewa
Sent using IPhone X
Akili za kiccm hahaKwa akili zako za kiccm itakuwa vigumu kuelewa
Sent using IPhone X
Ukipenda kitonga ndio madhara yake hayo,T mobile ni kampuni ina simu mbovu hatari sio software sio hardware kote majanga
Sent using IPhone X
Ni kweli T-mobile ni Gsm ila nao wana majanga yao, band yao ya 3g ni 1700 ambayo wanaimiliki wao tu. Simu zao ndio zile zikija huku zinashika E tu.Acha Kidanganya Watu Mzee. Tmobile Ni Moja ya Kampuni ya Mtandao Mkubwa Duniani. Hata Unlocking Service za Tmobile ni Server/Credits based hvyo ni Expensive Ukilinganisha na Mitandao Mingine. Inakupasa pia Ujue Kuwa Cmu zote za Tmobile huwa ni GSM/WCDMA tofauti na mamitandao ya Kijinga Kama Sprint na Verizon ambao cmu zao huwa ni CDMA ambapo huwa ni shida kuzitumia kwa baadhi ya nchi.
Hyo Ni Software crash tu na anaweza fix simply kwa Kufanya Firmware Update.
Cmu Ngapi Za Tmobile Uliwahi kutumia ukaconfirm kuwa cmu zao ni mbovu?
Ni kweli T-mobile ni Gsm ila nao wana majanga yao, band yao ya 3g ni 1700 ambayo wanaimiliki wao tu. Simu zao ndio zile zikija huku zinashika E tu.