Watu walivyokamatwa na tecno, sijui kama inalipa za zamani sana
Ndio hali halisi sasa hivi kuna s7, nilitumia s4 battery ilinisumbua sanaKatika maisha jifunze busara japo ya kuazima, hivi unadhani kama mtaani kwenu wanatumia tecno ndio watu wote wanatumia hzo?? Watu wananunua sana, hizo ni sample tu miongoni mwa nyingi zinazouzwa. By the way watu hawako sawa tambua pia hilo, wakati wewe unatumia tecno kuna wenzio wanatumia "alcatel" so acha biashara za watu ziendelee. Hakuna umuhimu wa wewe kucomment kila unachokiona.