Samsung s3 rooting

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,103
2,000
Nataka kuroot simu yangu ili niwe super user kwenye s3 yangu maana nataka edit power management sababu s3 yangu inakata sana battery

haya ndio nataka uliza
Je nikirooot simu yangu security ya simu itaondoka?
Je nikiroot simu yangu nini athari nyingine za hii simu?
 
gsmsolution2009

Senior Member
May 7, 2013
120
195
nitawashauri msijaribu ku root s3 as simu hizo wengi waliojaribu kui root wameishia kui damage baseband chip matokeo yake imei inakuwa null na simu haipandi network
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,103
2,000
Rooting worked na right now naweza fanya chochote kile nitakacho.
I hated my s3 siku ya kwanza nilipoipata ila nimeanza ipenda
 
Primitive

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
223
195
nitawashauri msijaribu ku root s3 as simu hizo wengi waliojaribu kui root wameishia kui damage baseband chip matokeo yake imei inakuwa null na simu haipandi network
Imenitokea hiyo kitu IMEI null kwa s4! Except Mimi sikuwa nai root,! Je naweza kuirestore? Masada please!
 
MPENDA USAWA

Senior Member
Oct 15, 2012
169
195
Kuroot ndo nini tuelewesheni basi#nina mchina nakia#naweza kuiroot????

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,103
2,000
Duh basi hizo zenu hakika zitakyuwa na matatizo maana yangu niliiroot na inafanya kazi kama kawaida.
IMEI ipo na inasoma kama kawaida.
Ukiroot inaondoa LICENCE na simu itakuwa imeandika MODIFIED kwenye Device status.

Kingine ni kuwa waweza kuiUNROOT muda wowote ule utakao

Sababu ya MIMI kuroot ni kuwa simu yangu S3 ilikuwa inatumia battery sana kwenye standby mode so baada ya kuroot inakaa masaa 34 hadi sasa sijaweka chaji hata kidogo ila zamani ilikuwa ndani ya masaa mawili inakata kabisa.

I did it ila nilikuwa naogopa sana maana simu ilikuwa na siku saba tu but it worked
 
costerntine

Senior Member
May 5, 2013
172
195
Well done brother hata mimi nime root sim yangu ingawa tabu nili ipata kupata zip file but so cool nimeweka room mpya ya synogenmood7 sjawahi ona kilichofayika umo maana sound ya mziki balaa camera adivanced options
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom