Hata hii 13 ukichukua leo kwa 1.4ml,miezi 5 baadae utauza chini ya milioni.
Kinachofanya uone inashuka taratibu ni kwa sababu ulinunua bei juu zaidi,hivyo hata ikishuka bado itakuwa na bei ya juu,fikiria mwaka mmoja baadae uje uuze 600k,utajiona umeuza kwa bei rafiki,lakini ni kwamba imeshuka pia sana tu.