Samsung S2

Samsung S2

Unauza bei gani? Ebu ni pm, pia unapatikana wapi na simu inatatizo gani?

Kwanini ununue cm used na wewe? nenda kariakoo around about ya kwenda msimbazi na mmnazimmoja, kama unaangalia barabara ya msimbazi, barabara ya mtaa wa kwanza upande wa kushoto kuna duka kubwa la "MWANYIRO" upande wa kushoto, kuna simu orijinal tupu, hiyo Samsung S2 ni 350,000 na garantee juu, juzi nilipita pale nikanunua (Samsung Tab Pro 10.2 kwa Tsh.1,250,000)
 
Ndugu yangu nakushukuru sana kwa kunifumbua macho.Asante sana na mungu akubariki.
 
Mkuu mbona kama wapigia promo upande wako?

Hapana kaka nimeona uchungu kwa cku hizi hasa cmu tuwe tunanunua used? hiyo ilikuwa zamani 2003 hadi 2006 tulikuwa tunanunua siemens,nokia 3310 kwa mtu, sasa nikaona hasa kwanini ununue kitu used kwa mtu usiye mjua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom