Samsung portable laptop for sale

Samsung portable laptop for sale

cyruss

Senior Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
196
Reaction score
40
Nauza samsung potable laptop , unaweza charge kwa umeme au jua(ina solar panel) , RAM 1 GB, internal hard disk 280GB, pentium M, 32 bit, imenunuliwa miezi michache quality centre , sasahivi nauza karibu nusu ya bei iliyonunuliwa kutokana na matatizo ya kifedha, ni rahisi sana kuibeba kwenda sehemu yoyote.

Bei 450,000 tu

Nipigie 0688 393943
 

Attachments

  • DSCF5865 (640x427).jpg
    DSCF5865 (640x427).jpg
    21.3 KB · Views: 137
  • DSCF5830 (640x427).jpg
    DSCF5830 (640x427).jpg
    31.5 KB · Views: 136
  • DSCF5832 (640x427).jpg
    DSCF5832 (640x427).jpg
    19 KB · Views: 119
  • DSCF5855 (640x427).jpg
    DSCF5855 (640x427).jpg
    42.1 KB · Views: 123
iko poa xsana mzee!
ila mfuko bado mbovu kama itakuwa bado baadaye kidogo tutawasiliana nimechukua # yako
 
iko poa xsana mzee!
ila mfuko bado mbovu kama itakuwa bado baadaye kidogo tutawasiliana nimechukua # yako

poa poa mkubwa si unajua soko huria akitokea mtu ndo ivyo, yaani nauuza ila roho inauma basii tu matatizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom