Samsung note 9 kama spea

Samsung note 9 kama spea

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,728
Reaction score
4,999
Naiuza kama ilivyo
Samsung note 9
Imeanguka Imevunja kioo
Inawaka na ukipigiwa inaita
Tatizo kioo tu
Naiuza kama ilivyo
Mali halali
IMG_20211225_143227.jpg
 
Hahahahaha Segito ndo maana una hasira daah... wenzako tupo kwenye S21 ultra wewe ndo una dream note 9?
Mimi najinunulia wewe unahongwa!

Mwanaume kama mimi nafanya nitakavyo siwezi kukimbizana na wewe ambae kila kinachotoka mabasha zako wanakuhonga ili uendane na wakati!

Safi sana! Wanakubutua kisha wanakupa simu kali
 
Acha wivu nanunua....kwa pesa zangu segito...

Nina ka note 10 plus hapa nikutumie?
 
Acha wivu nanunua....kwa pesa zangu segito...

Nina ka note 10 plus hapa nikutumie?
Yes pesa hizo ukishahongwa zikifika mkononi mwako ndio zinakuwa zako!

Mimi sitaki unitumie simu zako ulizohongwa hizo, natafuta kwa jasho langu! Wewe endelea kuhongwa!
 
Yes pesa hizo ukishahongwa zikifika mkononi mwako ndio zinakuwa zako!

Mimi sitaki unitumie simu zako ulizohongwa hizo, natafuta kwa jasho langu! Wewe endelea kuhongwa!
Teh teh teh aisee sikufikiri uko katika dhiki hivyo...
 
Back
Top Bottom