Samsung note 2

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
Inauzwa samsung note 2 orignal ya korea inatatizo la touch tuu haina tatizo lingine ni kama uko interest inauzwa laki 2 pm me now
 
Kaka unajua kioo au touch ya note 2 ni bei gani? Huwezi uza being hiyo mkuu punguza ,,
 
Simu ikishakuwa na tatizo basi ujue ishaharibika hiyo,sawa na binadamu unapokuwa unaharibikiwa kiungo kimojawapo mwilini,tayari unakuwa mgonjwa
 
Mkuu kioo chake ni 250000 kama sikosei mpaka 150000
 
Kioo original vinauzwa pair na touch yake 180 + 60(nakupa wee) + 20 (ufundi) = 260 (still risk inawezekana kuna tatizo lingine) kwa akili ya kawaida kitown town 260 ukiongeza 40 Unapata simu nzuri.. Nikinunua hiyo yako kwa 200,000 + 180 kioo + 20 (ufundi) = 400,000. hivi note 2 mpya kiaisi gani shop?
 

260+200=460k bei ya Note 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…